Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

JOHNKEKE, kadanganye watoto wa Kindergarten na huu UTOPOLO wako!! Tundu Lissu alishambuliwa kwa amri ya Magufuli, mbona ushahidi wa video clip upo?

Japo sikubaliani na Lissu kwa madai haya kuhusu ulinzi, lakini la kushambuliwa na kujeruhiwa inafahamika ni amri ya MAGUFULI.
 
Anataka tamko thabiti la Mhe.Rais, na hilo ni muhimu kwa sababu litatuma ujumbe mzito kwa wasioujulikana kwamba hili suala linachukuliwa kwa uzito na ofisi namba moja.
n

ndio maana nikauliza anaomba usalama upi?!? alindwe na jeshi lenye silaha 24/7?!? au tamko tu la Mhe.Rais?!?
 
Umeandika contradictions tupu.
 
Nyie kenge mlikuwa mnasema bashite ndio alifanya huu mchongo afu leo mmegeuka mnasema kipilimba

Usiwe na haraka. Bashite file lake lipo. Maana yeye aliwekewa vikwazo kwa kudeny watu haki ya kuishi. Tumeanza na Kipilimba
 
Watanzania tungekosea sana mpa urais mtu kama huyu, amepigwa risas 2017, 2020 kaja nchini kwenye kampen za uchaguz mkuu, kazunguka nchi nzima, baada ya kushindwa kakimbia nchi kwa madai kuwa usalama wake uko hatarin, kama kweli alikuwa anawindwa yeye kwann hakumalizwa wakat wa kampein? Siasa unazofanya lisu ztabak mtandaon hatokuja kuwa na nguvu kama alioipata lowasa au dr Slaaa
 
Kama kweli hoja yake inamashiko, kwann amekataza dreva wake asihjiw? afu anataka alipwe pesa za matibabu ilihali wanachi ndo tulimchangia pesa za matibabu mbwa huyu?
 
Ndio maana kumbe amekuwa akimuomba Rais Mh Mama Samia Suluhu atoe japo tamko tu. Inaonekana hali si nzuri sana.

Mungu atulinde watanzaia.

Mungu Mbariki Rais Samia
Kwa jinsi utawala uliopita ulivyokua nnauhakika hata Mama Samia Suluhu hakifahamu hicho "kikosi kazi" aka "wasiojulikana".

AlhamduliLlah tumeondokana na utawala mgumu sana, wa "roho mkononi".
 
Sasa hivi hakuna uchaguzi na dona kantri wapo busy na Uvamizi wa Russia Ukraine, wanasaka mali za Oligarchs kila kona wazi sanctions.
Nadhani hata sasa yapo, tena SSH anayependa zaidi macho yao kuliko JPM!
 
Kama ni jasiri na asiyeogopa arudi nchini la sivyo mwachie Mungu! Kuhusu mimi kuwa na mahaba na Rais Samia hilo la kwangu pia ujue mimi hata Mama Samia huwa namkosoa sana tu fuatilia michango yangu!
Samia kafanya utu wa hali ya juu kwanza pale mwanzo alienda kumuona
Lisu hospital Nairobi na baada ya yeye kuwa Rais kaonana na Ubelgiji! Sasa niwaulize mnataka Samia amfanyie nini Lisu?
Lisu alipaswa kukaa kimya amsikilize mama maana kashampa maombi yake !
Lakini cha ajabu anaanza kuongea kwa hisia kuwa mama hatafanyia kazi maombi yake!
Huyu ni mtanzania mwenzetu na sote tuliumia kwa tukio lililompata ila kwa tabia yake ya kutokuwa na breki mdomoni kwake haipendezi!
Tukumbushane pia kuwa kuna watu walishawahi kuuliwa kabisa hapa nchini mfano Dr Mvungi wakatiba mpya na Rais kwa kwanza wa Zanzibar kwa hiyo mengine amwachie Mungu ndo mtoa hukumu!
 

Lissu aendelee mpaka Kipilimba akamatwe. Hakuna la dhamani Kama raia wa nchi. Hakuna execute ya kuua raia wa nchi. Kama amefanya kosa apelekwe mahakamani. Mbona akina Hans Poppe walitaka kupindua serikali kipindi Cha Nyerer ila hawakuuawa?. Tuache kuruhusiwa mauaji nchini kwa kumlinda CCM .

Kipilimba akamatwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…