Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Hakuna mtu aliyeitingisha serikali kama Mrema lqkini hakuwahi kudhuriwa ....kwa mazingira ya wakati ule upo uwezekano pia tukio hilo lilifanywa makusudi kuchafua serikali na kuthibitisha kimataifa tuhuma ili kuifanya serikali kukosolewa na kukosa misaada...hii inawezekana ilikuwa ni vita ya matajiri ambao maslahi yao yaliguswa....
 
kama Mrema lqkini hakuwahi kudhuriwa

Hadi mm nashangaa mpaka Leo huyu mzeee alikuwaga na nini licha ya u TISS wake
 
Huyu bwana alishambuliwa kwa nia ya kumwua.

Kwa hakika angeweza kuuwawa.

Kauli kuwa upelelezi hauwezi kukamilika bila yeye kuwapo hazina ukakasi?
Utetezi wa kufikirika na hisia hasi dhidi ya mtu/kiongozi mlengwa. Hoja yangu hii inaongezewa nguvu kwa ukweli kwamba:
1) Risasi zilipigwa upande wa gari ambako Lissu alikuwa ameketi (kiti cha abiria)
2) Lakini Lissu aliumia vibaya upande wa wake wa kulia ambako kulikuwa na dereva
3) Dereva hakupata jeraha lolote
4) Isitoshe Dereva, kwa kauli yake kuhusu tukio, hajaonekana kusaidia Polisi, kwa kuwa anajua aina na namba za gari lililokuwa likiwafuata hadi gari lake kupigwa risasi.

Hivyo basi walisaidie Jeshi la Polisi kuwakamata wahusika kwa kuwa Serikali iliyoko madarakani ni ya MARIDHIANO. Kutokufanya hivyo ni kutafuta huruma ya kisiasa.
 
Nilichoandika 23/3/22 kinajaribu kujibiwa kimagumashi leo takriban mwaka mmoja baadaye. Haina shaka haijawa rahisi hata leo kujaribu kutoa majibu haya.

Nikurejee katika kilichotokea Area D ambacho ninajua unajua:

1. Katikati ya Lissu na dereva kwenye gari, palikuwa na ka fridge kadogo.
2. Wapiga risasi walikuwa wakipiga kutokea nyuma kushoto.
3. Dereva alimvuta Lissu kuivuka fridge akamsukumia kichwa na uso chini kuelekea kwenye pedals za brake na accelerator.
4. Kichwa na uso vya Lissu kuwa chini iliacha miguu kubaki juu, upande wa kushoto wake ukiwa mbele upande wa kioo.
5. Kwa hali hii upande wa kulia ndiyo uliokuwa mkabala na washambuliaji na ndiyo ulioshambuliwa zaidi kama unavyosema.
6. Kwa hali hii ndiyo maana eneo lote tokea kiunoni hadi kichwani alikuwa salama.
7. Kwa vile shambulizi lilielekezwa kiti cha mbele kushoto kutokea nyuma kushoto ndiyo maana hata dereva hakujeruhiwa.

Kipi usichoelewa ndugu? Au ni Ile Ile ya kupima maji na kujaribu kupotosha pasipo potosheka?

Kwanini msione umuhimu wa kukomaa na Lissu kuhoji zilipo CCTV footage badala ya kujaribu kujifanya hamnazo hata katika yaliyo wazi?

Oneni japo aibu kidogo basi?

Hamuoni kuwa mnajifedhehesha?

Bure kabisa!
 
Kazi ipo
 
Huyu bwana ni mlalamikaji wa kiwango cha PHD. Kama Rais kafunga safari mpaka Belgium na akataka waonane, ni lazima nia yake iwe ni njema.

Akumbuke kuwa rais ni taasisi yenye watu wengi nyuma wenye majukumu mbalimbali. Hivyo aondoe wasiwasi aliokuwa nao.

Kufariki kwa JPM kumaifanya taasisi ya urais iwe na mabadiliko makubwa. Aondoe shaka.
Kwanini ni lazima nia yake iwe njema?
 
Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia.

Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana.

Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi. Kinaitwa kikosi kazi cha kupambana na Ugaidi na madawa ya kulevya.

Watu wote waliouawa Maeneo ya Mkuranga, Kibiti Kilwa Rufiji zaidi ya watu 400. Wale waliokuwa wanatupwa mtoni maiti zinaokotwa kwenye beach, wote ni Wahanga wa Kikosi hicho.

Ndio waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda Mdude, Mo Dewji. Yote yalitekelezwa na hicho kikosi kazi hichi chiini ya Kipilimba ammbaye sasa ni Balozi.

Noma sana !
 
Hajaweka wazi nini haswa hoja yake. Ni kama mtu mwenye wasiwasi usiokwisha kwa vigezo vya mwanzoni mwa maongezi haya.

Inaweza kuwa ni muendelezo wa siasa za mitandaoni, hataki kutoka midomoni mwa watu kirahisi hivyo inambidi aongee hata kama anachokiongea ukikipima hakina undani sana.
Ni kwamba hujaelewa alichokosema ama?
 
Huwezi kuishi ndani ya mkondo wa maji na kutaka uhakikisha usalama wako.
 
Mungu akusamehe hujui ulinenalo.
Hajaweka wazi nini haswa hoja yake. Ni kama mtu mwenye wasiwasi usiokwisha kwa vigezo vya mwanzoni mwa maongezi haya.

Inaweza kuwa ni muendelezo wa siasa za mitandaoni, hataki kutoka midomoni mwa watu kirahisi hivyo inambidi aongee hata kama anachokiongea ukikipima hakina undani sana.
 
Tundu Lissu kama ni muadilifu aseme fedha za stahiki zake ni shilingi ngapi? Na je akilipwa atazipeleka kwenye charity gani? Walitangazia ulimwengu wote wako watu walifanya chariy kumeet gharama zake baada ya serikali kuzuia hizo stahiki zake. Analazimika kwa uungwana tu hizo stahiki zake anazo idai serikali kuzirudisha kwenye charity.
Umeandika nini hapa??
 
Huyu bwana alishambuliwa kwa nia ya kumwua.

Kwa hakika angeweza kuuwawa.

Kauli kuwa upelelezi hauwezi kukamilika bila yeye kuwapo hazina ukakasi?
Kama umefatlia sakata hili utagundua ni kama vile, kw njia 1 au nyngne, mtuhumiwa amekuwa akitaka kuwa yy
ndiye awe hakimu. Kwa dunia ya kidigitali ya ss inawezkana anachoxema Tundu kina ushahidi wa kutosha- ktokana na washutmiwa kutofungua kesi ya madai dhidi yake. 16 bullets ndn ya mwili c mchezo. Waambieni "wameshutumiwa ki makosa, wafungue kesi...". Ss tunangojea ukweli udhihirike, hiyo 2
 
Tundu mwenyewe yupo. Hayo mengine ni probabilities. Aitwe mwnyewe watafte ukweli. Polisi wametajwa nani atawaamini!
Utetezi wa kufikirika na hisia hasi dhidi ya mtu/kiongozi mlengwa. Hoja yangu hii inaongezewa nguvu kwa ukweli kwamba:
1) Risasi zilipigwa upande wa gari ambako Lissu alikuwa ameketi (kiti cha abiria)
2) Lakini Lissu aliumia vibaya upande wa wake wa kulia ambako kulikuwa na dereva
3) Dereva hakupata jeraha lolote
4) Isitoshe Dereva, kwa kauli yake kuhusu tukio, hajaonekana kusaidia Polisi, kwa kuwa anajua aina na namba za gari lililokuwa likiwafuata hadi gari lake kupigwa risasi.

Hivyo basi walisaidie Jeshi la Polisi kuwakamata wahusika kwa kuwa Serikali iliyoko madarakani ni ya MARIDHIANO. Kutokufanya hivyo ni kutafuta huruma ya kisiasa.
 
Kama umefatlia sakata hili utagundua ni kama vile, kw njia 1 au nyngne, mtuhumiwa amekuwa akitaka kuwa yy
ndiye awe hakimu. Kwa dunia ya kidigitali ya ss inawezkana anachoxema Tundu kina ushahidi wa kutosha- ktokana na washutmiwa kutofungua kesi ya madai dhidi yake. 16 bullets ndn ya mwili c mchezo. Waambieni "wameshutumiwa ki makosa, wafungue kesi...". Ss tunangojea ukweli udhihirike, hiyo 2
Hivi hayo majengo Bashite aliludisha cctv nyingine baada ya juchukua zile. Au mpaka leo hakuna cctv. wanaopita huko watunuze
 
Back
Top Bottom