Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Mnafukuq makaburi sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hastahili haki, vipi waliompiga hatustahili kuwajua??na fikiri anahaki ya kuongea sanaa msimzibe mdomo kwa kumdhihakiHana jipya,ameona upepo umembeba Mbowe anapambana na yeye asisahaulike.
Taka takaDamu za wote waliouawa na kikosi cha kipilimba zikawe juu ya kichwa chake yeye na watoto wake milele yote!
damu za wahanga wote zikawe laana kwake na familia yake milele yote, usiku ziwe na kazi ya kumlilia na kumlaani milele yote!
Aliyekuwa mkuu wa nchi kwa vyovyote tunajua yuko sehemu gani ktk zile mbili za Mwenyezi Mungu.
Lissu hayupo hapa kukupa wewe hamu. Shida za hamu peleka kwa mume wakoNapungukiwa hamu ya kumsikiliza!
Ndio dini gani hiyo mkuu!Atafute huo uhakika kwa Mungu aliye muokoa mara ya kwanza. Huyu TL anamjua Mungu kweli na ni dini gani? Pamoja na ule muujiza Mkuu ulioponya maisha yake bado anatafuta uhakika wa uhai na usalama wake kwa wanadamu? Labda nina wasiwasi jamaa ni muunini wa dini ya stanisim
Idiot
Kwa akili hii utakuta nawe una mke na watoto! Pumbafu kabisa
Lissu hayupo hapa kukupa wewe hamu. Shida za hamu peleka kwa mume wako
Naingia kazini rasmiMwenye orodha ya kikosi kazi aweke humu
TunasubiriNaingia kazini rasmi
Hata lisu ni chiba kwa usariti wake alama aliyoipata hatasahau mpaka anaingia kaburini.Msaliti amekufa kazikwa na kifusi na mawe kama joka
Sisi tunamtaka dreva wake, haiwezekani umekaa na mtu ambaye amepigwa risasi 36, harafu isikupate hata moja...Sijui Polisi watasingizia nini sasa.
..walidai wameshindwa kuchunguza kwasababu Lissu hayuko nchini.
Kumbe watu kama Jiwe mko wengi sanaNapungukiwa hamu ya kumsikiliza!
Nikimuona nazima tv!
Mpinzani anatakiwa awe na akili ajuwe watu wanamisi nini ndiyo akilete mezan!
Hadithi ya yeye kupigwa mi inaniletea vipi maendeleo?
Mama keshawapa mwongozo waseme kero zinazowakwaza wananchi ambazo serikali imezisahau waziseme ili serikali isikie na itekeleze!
Haya kakazana nilipigwa na kikundi cha rais kwahiyo? Mara ngapi ameomba na kupiga magoti aonane na rais? Adui yako unampigia magoti ili umuone? Haya kapokea magoti yako mmekutana haikutosha?
Kwahiyo unatakaje sasa baada ya kuwa umepigwa?
Ubalozi wa marekan ulipigwa na watu tumesahau yeye nan dunia hii?
Atenge siku aadhimishe bas au atunge wimbo wa taifa mxiyu!!
Tulimuonea huruma na tulilaan kitendo na tukamaaidia kupona!
Sisi tunamtaka dreva wake, haiwezekani umekaa na mtu ambaye amepigwa risasi 36, harafu isikupate hata moja.
Tafuta hamu sehemu nyingine. Kwani lazima kumaikiliza? Kwanin usiweke zile hotuba za yule Jiwe kama yeye anakupa hamuYupo kutuambia alivyopigwa siyo?
Tafuta hamu sehemu nyingine. Kwani lazima kumaikiliza? Kwanin usiweke zile hotuba za yule Jiwe kama yeye anakupa hamuYupo kutuambia alivyopigwa siyo?
Hayati anazidi kuzikwaNapungukiwa hamu ya kumsikiliza!
Nikimuona nazima tv!
Mpinzani anatakiwa awe na akili ajuwe watu wanamisi nini ndiyo akilete mezan!
Hadithi ya yeye kupigwa mi inaniletea vipi maendeleo?
Mama keshawapa mwongozo waseme kero zinazowakwaza wananchi ambazo serikali imezisahau waziseme ili serikali isikie na itekeleze!
Haya kakazana nilipigwa na kikundi cha rais kwahiyo? Mara ngapi ameomba na kupiga magoti aonane na rais? Adui yako unampigia magoti ili umuone? Haya kapokea magoti yako mmekutana haikutosha?
Kwahiyo unatakaje sasa baada ya kuwa umepigwa?
Ubalozi wa marekan ulipigwa na watu tumesahau yeye nan dunia hii?
Atenge siku aadhimishe bas au atunge wimbo wa taifa mxiyu!!
Tulimuonea huruma na tulilaan kitendo na tukamaaidia kupona!
Tafuta hamu sehemu nyingine. Kwani lazima kumaikiliza? Kwanin usiweke zile hotuba za yule Jiwe kama yeye anakupa hamu
Hana jipya,ameona upepo umembeba Mbowe anapambana na yeye asisahaulike.