Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

Damu za wote waliouawa na kikosi cha kipilimba zikawe juu ya kichwa chake yeye na watoto wake milele yote!
damu za wahanga wote zikawe laana kwake na familia yake milele yote, usiku ziwe na kazi ya kumlilia na kumlaani milele yote!
Aliyekuwa mkuu wa nchi kwa vyovyote tunajua yuko sehemu gani ktk zile mbili za Mwenyezi Mungu.
Taka taka
 
Atafute huo uhakika kwa Mungu aliye muokoa mara ya kwanza. Huyu TL anamjua Mungu kweli na ni dini gani? Pamoja na ule muujiza Mkuu ulioponya maisha yake bado anatafuta uhakika wa uhai na usalama wake kwa wanadamu? Labda nina wasiwasi jamaa ni muunini wa dini ya stanisim
Ndio dini gani hiyo mkuu!
 
Napungukiwa hamu ya kumsikiliza!
Nikimuona nazima tv!
Mpinzani anatakiwa awe na akili ajuwe watu wanamisi nini ndiyo akilete mezan!

Hadithi ya yeye kupigwa mi inaniletea vipi maendeleo?
Mama keshawapa mwongozo waseme kero zinazowakwaza wananchi ambazo serikali imezisahau waziseme ili serikali isikie na itekeleze!
Haya kakazana nilipigwa na kikundi cha rais kwahiyo? Mara ngapi ameomba na kupiga magoti aonane na rais? Adui yako unampigia magoti ili umuone? Haya kapokea magoti yako mmekutana haikutosha?
Kwahiyo unatakaje sasa baada ya kuwa umepigwa?
Ubalozi wa marekan ulipigwa na watu tumesahau yeye nan dunia hii?
Atenge siku aadhimishe bas au atunge wimbo wa taifa mxiyu!!
Tulimuonea huruma na tulilaan kitendo na tukamaaidia kupona!
Kumbe watu kama Jiwe mko wengi sana
 
Sisi tunamtaka dreva wake, haiwezekani umekaa na mtu ambaye amepigwa risasi 36, harafu isikupate hata moja.

..kama dereva ni suspect Polisi wanatakiwa waitaarifu Interpol na Polisi wa Ubelgiji ili wamrejeshe Tanzania.

..kama Polisi hawajachukua hatua hizo maana yake ni kwamba hawamtafuti au hawana haja na maelezo ya dereva.
 
Napungukiwa hamu ya kumsikiliza!
Nikimuona nazima tv!
Mpinzani anatakiwa awe na akili ajuwe watu wanamisi nini ndiyo akilete mezan!

Hadithi ya yeye kupigwa mi inaniletea vipi maendeleo?
Mama keshawapa mwongozo waseme kero zinazowakwaza wananchi ambazo serikali imezisahau waziseme ili serikali isikie na itekeleze!
Haya kakazana nilipigwa na kikundi cha rais kwahiyo? Mara ngapi ameomba na kupiga magoti aonane na rais? Adui yako unampigia magoti ili umuone? Haya kapokea magoti yako mmekutana haikutosha?
Kwahiyo unatakaje sasa baada ya kuwa umepigwa?
Ubalozi wa marekan ulipigwa na watu tumesahau yeye nan dunia hii?
Atenge siku aadhimishe bas au atunge wimbo wa taifa mxiyu!!
Tulimuonea huruma na tulilaan kitendo na tukamaaidia kupona!
Hayati anazidi kuzikwa

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom