Pre GE2025 Tundu Lissu: Wamepanga kuingiza kura feki uchaguzi wa ndani (CHADEMA)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama kutakua na muendelezo wa lissu baada ya chaguzi hizi. Akiwa ndani ya chadema, kama mwenyekiti au cheo chochote, Naamini lissu kama sio kuuliwa kutumia mtutu basi nitapata taarifa ya kufa kwake.
Huyu jamaa sio mzima na hadi sasa sijajua nia yake ni ipi? Sijawahi ona hili kwenye siasa za Tanzania likivuma kwa muda mwingi.
Naamini kiti hapati, na akikipata hafiki uchaguzi. Nimeandika hapa jf.
 
Kumbe hata huko kuna kura feki? Ha ha ha😁
 
mtu kama tundu lissu miaka yote kuhangaika na chadema ni hasara sana kwake.

amechelewa sana kujua kama hv vyama havina mpango wowote wa kushika dola.

hivi vyama vipo kwaajili ya upinzani tu sio kushika dola ndy maana hadi leo eti chadema wanajisifu ni chama kikuu cha upinzani.

ujinga mtupu huu.
 
Hivi mbowe akishindwa atakuwa na kazi gani tena ya kufanya chadema badala ya kwenda kulea wajukuu!
Katiba inambakisha kama mjumbe wa bodi. Kwa yeye atakua kama mzee wa chama na supervisor na anaweza kaimu cheo hiko muda wwte ambapo huyu mwenyekiti husika atazingua au kuacha madaraka yake.
Mbowe atakua top seniour leader. Of which ndio yeye atakua hamna mzee mwingine zaidi yake pale.
 
Sio havina mpango boss, hamna chama kilichoweza kutwaa nafasi ya CCM Tanzania. Back then vilisumbua tu not kutwaa Tanzania.
Ccm ni kitu kikubwa na kinapendwa na wengi sana kuwazidi vyama pinzani.
Yaani vyma pinzani ndio vitu watu ila hata kwa umoja wake haviizidi CCM
 
aliye kwambia ccm inapendwa na watu ni nani?

ninacho jua mimi vyama vyote ni matawi ya ccm kuwahadaa watu.
 
Ukute na hizi ni sarakasi cha CHADEMA ili paonekane pana demokrasia.
Siasa huwa siiamini sana, kuna sinema nyingi sana kwenye siasa hizi. 😁
 
Ndugu Tundu Lissu ANATAPATAPA ...

Aache visingizio.....ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…