Pre GE2025 Tundu Lissu: Wamepanga kuingiza kura feki uchaguzi wa ndani (CHADEMA)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kura zitapigwa hadharani na maboksi yatawekwa hadharani kila mmoja ataona directly hata walioko nyumbani kupitia luninga.

Wewe subiri unyolewe hadharani na kihalali kabisa .
 
Huyu ataongea yote - muda wote analalamika tuuu....Hivi hamna agenda za kudiscuss kwenye huu uchaguzi wa CDM..zaidi ya hizi lawana muda wote....
CCM na mapungufu yao huwa wako makini na wanajitahidi kuchunga midomo yao..CDM hawa kila mtu ni msemaji na mlalamikaji - ukiingia online kila mtu ni msemaji - na mtoa maamuzi.
Kwa aina hii ya watu CDM hamuwezi kuongoza nchi mkajipange tena -
 
Tundu Lisu hawezi kushinda, kuna undercover wengi Sana wa tiss wamepandikizwa ndani ya chama hicho.
 
Chadema ni kama jahazi katikati ya bahari ambapo waliomo ndani yake wameamua kulivunja Ili kugawana mbao wakiwa hata hawajafika ufukweni.
 
Wape credit yao SAUTI YA WATANZANIA Club House kwa kuongoza hii mifldahalo ya Lisu.
 
Mbona kama wanakiua chama chenyewe sasa
 

Uhuni wowote ukithibitika ndo basi tena
 
Huo uwezo unaomaanisha hapa ni upi ?...
 
Kweli siasa mchezo mchafu yaani hadi Lisu analalamikia kura fake CDM,wakati raia tuliaminishwa Kuna demokrasia makini lol.
 
Acha kulia lia mapema si umeamua kujipima ubavu na Mbowe haya kazi kwako.

Tunakushauri mtafute Msigwa ahesabu kura zote kabla ya kupigwa then ahesabu utakazopata ili usisingizie umeibiwa.

au na Msigwa humwamini?
 
Chama chawala kiko kazini
 
Kumbe wewe wakati unasoma akili zako zilikuwa huko? Hapo singai kwanini wewe ni sh.....a!!! Ahahahahaha!!
Dada yangu mimi sio mtoto wa shule, hata kipindi nasoma warembo kama nyinyi nilikuwa nawawekea kalamu ya risasi, au dole gumba wakati ukiwa unataka kukaa kwenye dawati.

Mwanamke mzima tena mkubwa kwa umri unashindwa hata kutafakari, Lisu atawaamini vipi wenzake wakati sarakasi zinaweza kuchezwa popote ili nalo linahitaji shule wewe mtoto wa shule ?
 
Mkuu uko kinyume na wanaccm wenzako wanaompigia debe Sultan.
Mkuu Kuhani Mkuu, CHIEF PRIEST ,mimi siku zote ni mkweli toka ndani ya nafsi yangu,CCM wanaompigia debe Sultani Mbowe,ni CCM maslahi,wanamtaka FAM kwasababu ni mlaini kama mlenda,hivyo CCM inaleteza tuu,lakini CCM wazalendo wa maslahi ya taifa mbele,wanataka serious opposition kujenga CCM imara!。

Tena mimi sio kwenye hili tu ndio natofautiana na chama changu,mimi ni kama Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere,CCM ikituletea ujinga,unatupa kule kama ule ujinga wa Konondoni na Siha Kinondoni na Siha, tusikubali ujinga huu! hata Mwl. Nyerere alikataa ujinga wa CCM, 1995 akachagua upinzani! na hata 2025,msimamo wangu ni HII kitu!。
P
 
Hili tunalijua, gaidi lazima afanye yake
 
Kama ccm ya samia inaendesha serikali, chadema chini ya msomi Lissu itashindwaje?
KAMA WASOMI WAKO DIZAINI YA LISSU BASI HATUNA WASOMI HUYO NI MWANAHARAKATI TENA MWANAHARAKATI UCHWARA
 
tatizo tiss imeingilia kati uchaguzi huu.
Hao TISS watamzuia mjumbe kupiga kura? Watamzuia Lissu kuweka wakala wakati wa kuhesabu kura? Watazuia kura kupigwa na kuhesabiwa hadharani?
 

Aache woga wa sanduku la kura
Januari 21 haiko mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…