Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

Kavunja Sheria gani hapo Sasa,au polisi wanaiuhujumu ccm ili izidi kuchukiwa na wananchi Kama ni hivyo sawa
 
Soma vizuri barua imeandikwa kwa mwenyekiti wa Chana siyo chama.

Pili kwa akili yako ndogo kama samaki unataka kutushawishi na sisi tuwe mambulula kama wewe kuwa polisi tena policcm wako juu ya sheria?
 
Jamani jamani Lissu ni moto hakuna Wa kuuzima tujifunze kutoka kwake mmmh kweli Mungu ametuletea Mtu
 
Toa uzezeta wako hapa
 
Nauliza jamani.
Hiyo barua imeandikwa na kupelekwa kwa.
Mwenyekiti wa.

"Chana cha Democrasia na maendelea"

Ndio nani huyo mwenyekiti wa
Chana?

Yaani Chana kama Chana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aliyekuwa anachapa atakuwa alikuwa anafokewa, kachapia balaah πŸ˜€
Hiyo chana ya ndizi??

Everyday is Saturday...............................😎
 
Bila ICC,pia hofu ya kunyimwa misaada wallah nakuapia Hawa wakoloni weusi wangechinja watu usiku na mchana.Watawala wa kiafrica umuwakilisha Lucifer 100% sababu wengi ni washirikina furaha yao Ni kuwatoa kafara waafrika.Hakuna mtawala wa kiafrica ambae ana mikono Safi ambae ajauwa watu wote.Kuna link Kati ya watawala wa kiafrica na kumwagwa damu.Sioni mtawala yeyeto wa kiafrica ajauwa watu.Waafrika waliouliwa na watawala wa kiafrica Ni wengi Sana kuliko hata idadi ya waafrika waliouliwa na wakoloni weupe.Thus wanataka Kinga ya kutokustakiwa ili wamalize watu, furaha yao Ni kuona machozi ya watu.
 
Inabidi watu waelewe maana ya "HAKI" ni nini, na Tundu Lissu anatoa somo zuri sana.

Watu wamezoea kunyimwa haki kinyume cha sheria kwa sabau ya "UJINGA". Kutojua haki zao.

Kwa hiyo imekuwa ni kawaida kusikia polisi akikohoa tu, watu wanajiharishia hata kama ni wao haki zao ndizo zinazovunjwa.
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa
kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu,maelezo utayakuta polisi,na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote
Hapana wito wowote polisi lazima uendane na sababu ya kwa nini wanakuitia. Wale ni Law enforcers lazima wakueleze Sheria uliyovunja ili ukatoe maelezo
 

Khaaa, ila Tundu kichwa tukubali, once you want to argue/interact with him, jipange, otherwise atakuaibisha hadharani.. πŸ˜…, He knows exactly what he is doing, but amekuja kipindi kibaya, JPM will win ingawa kwa my early prediction si kwa kura nyingi like i was thinking, meaning will win with narrow margin, but anything is possible under the Sun, never rule out this guy..!! πŸ˜… CCM tumejipanga kisawa sawa..!!
 
Lisu tii Amri kwanza utahoji badae, acha kulumbana na mamlaka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…