Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi

Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Ok, wanaweza kukuita hata kwa simu. Vipi kutoambiwa kosa lake? Kisheria wapo sawa hao polisi? Na kwanini barua ipelekwe kwa mwenyekiti wa Chama wakati aliyeitwa ni Lisu?
 
Then 2023, July , 24 KINGAI anarudia kumwandia Professor ADVOCATE , mheshimuwa Barua ? ha ha ha.
Ngoja kaka Mshana Jr atukubushe P.G.O na zile cross examination pale Kisutu.
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Upo kwenye kifungu gani cha sheria?
 
Lissu anatafuta sababu ya kushindwa, kisheria polisi wanaweza kukuita hata kwa simu, maelezo utayakuta polisi na utapewa haki ya kusikilizwa ukiwa na mwanasheria wako au mtu yoyote.
Sheria gani na kifungu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…