Tundu Lissu yuko ITV akihojiwa na kipindi cha Dakika 45, Star Times wamekata matangazo

Hii ni aibu sana kwa Star times, wamekata matangazo ya ITV ili WANANCHI wasione mahojiano kati ya Tundu Lissu na ITV kwenye kipindi cha Dakika 45.

Wakati huo huo tbc wao wako hewani vizuri kabisa, hivyo basi, kama kwako matangazo ya ITV yamekatwa, ingia mtandaoni kwenye platforms za ITV Tanzania
Maagizo toka juu
 
Wewe tizama utakuja kuhadithia hakuna jipya story ni zile zile paukwa pakawa nitawaita bara barani siku ikifika hawaonekani!
 
Lissu: Raisi anapata wapi Mapesa yote haya ya kuhonga viongozi wa dini kama haibi pesa?kwa mshahara upi kama sio mauchafu yao wanayofanya?
 
Back
Top Bottom