Tundu Lissu yuko ITV akihojiwa na kipindi cha Dakika 45, Star Times wamekata matangazo

Tundu Lissu yuko ITV akihojiwa na kipindi cha Dakika 45, Star Times wamekata matangazo

ni mwendelezo tu ilikufanya manipulation watu wasigundue kwamba walikata kwa ajili yake
nimempigia simu CEO wa Startimes,
kanieleza internet provider wao ana changamoto ya kiufundi na majira haya ya saa 4 usubuhi, Tatizo limeshatatuliwa na huduma zimerejea kawaida 🐒🐒
 
Hujui ulisemalo kwa vile umegeuzwa msukule. Kaa fanya tathmini maisha unayoishi hapa Tanzania ulinganishe na nchi nyongine za kusini mwa jangwa la sahara.
labda we kube ndo utuambie unaishi maisha gani,ccm wanyonyaji wakuu wa taifa hili miaka takriban 50 mnalilia trump kukata misaada hata ya kuwajengea matundu ya vyoo
 
labda we kube ndo utuambie unaishi maisha gani,ccm wanyonyaji wakuu wa taifa hili miaka takriban 50 mnalilia trump kukata misaada hata ya kuwajengea matundu ya vyoo
Lini umesikia serikali inalia kufutwa kwa misaada? Chadomo mbona mnapenda kupotesha na kufyatua uongo? Maisha ya Tz ni bora kuliko nchi nyingi tu duniani.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Lini umesikia serikali inalia kufutwa kwa misaada? Chadomo mbona mnapenda kupotesha na kufyatua uongo? Maisha ya Tz ni bora kuliko nchi nyingi tu duniani.
Tz inaliwa na ccm mafisi wala hawana hata mpango na watanzania ni bora kumekucha iende tu hawana mawazo chanya
 
Kwa sababu kusema hawaimani serikali yao itawaletea shida kubwa zaidi.
Kuna mengi ila machache

CPC imeitoa China kwenye ufukara mpaka kuwa taifa la pili kwa uchumi mkubwa duniani ndani ya miaka 40 tu

CPC imewafanya Wachina kuwa civilized kila mwaka standard of living ya Wachina inaboreka kwa kasi sana

Serikali inawapa huduma muhimu za kijamii kwa gharama nafuu sana kitu ambacho hata kwenye nchi za Magharibi au zinazojiita za kidemokrasia kama Marekani hawaifikii China. Hakuna inflatio

CPC imepambana sana kwa kuwanyonga na kuwafunga maisha wala rushwa na wahujumu uchumi bila kujali nafasi walizo nazo serikalini

Sera nzuri za CPC zimefanya kuwe na maendeo ya sci-tech na kiviwanda

Xi Jinping ndiye raisi anayeongoza taifa lente mafanikio makubwa zaidi kwa sasa duniani

Kwa sababu hizo chache kati ya nyingi kuna kila sababu ya Wachina kuipenda serikali yao chini ya CPC na chairman and comrade Xi Jinping

Are you serious? No Reforms, No ERections!!
without sexual context, Yes.

In essence, without reforms, we can't expect anything to rise to the occasion-whether it's our party CHADEMA our political structure, our societal standards, or even our metaphorical (erection).😁😇
 
Back
Top Bottom