Tundu Lissu yuko ITV akihojiwa na kipindi cha Dakika 45, Star Times wamekata matangazo

Tundu Lissu yuko ITV akihojiwa na kipindi cha Dakika 45, Star Times wamekata matangazo

Mimi niliacha kuangalia TV long time ago. Tundu Lissu ndio umesababisha nirudi kuangalia mahojiano yake
Dawa ya vituo vya habari hasa tv vinavyodumaza uhuru wa waTanzania kupata habari kwa misingi ya demekrasia na freedom of speech ni kwa sisi raia kuvisusia. Mimi tyr kingamuzi cha star times nimetupilia mbali. They are cowards. Wanataka sote tulishwe hoja za upande mmoja tu na kuangalia tamthilia. Shame on Star Times TV
 
Back
Top Bottom