Tundu Lissu yuko ITV akihojiwa na kipindi cha Dakika 45, Star Times wamekata matangazo

Hii ni aibu sana kwa Star times, wamekata matangazo ya ITV ili WANANCHI wasione mahojiano kati ya Tundu Lissu na ITV kwenye kipindi cha Dakika 45.

Wakati huo huo tbc wao wako hewani vizuri kabisa, hivyo basi, kama kwako matangazo ya ITV yamekatwa, ingia mtandaoni kwenye platforms za ITV Tanzania
acha uoptoshaji gentleman,
STartimes wana tatizo la kiufundi kwa baadhi ya chaneli hususani chaneli za ndani ITV n.k tangu mchana wa leo, nimewapigia na waneniarifu hivyo 🐒
 
Nimepotosha nini?
 
Hii ni aibu sana kwa Star times, wamekata matangazo ya ITV ili WANANCHI wasione mahojiano kati ya Tundu Lissu na ITV kwenye kipindi cha Dakika 45.

Wakati huo huo tbc wao wako hewani vizuri kabisa, hivyo basi, kama kwako matangazo ya ITV yamekatwa, ingia mtandaoni kwenye platforms za ITV Tanzania
Mwenyekiti huu sio wakati wa kuwakumbatia vyombo vya Habari kwani ni lengo la kukukwamisha kwa kupeleka Habari zako huko kwa mpinzani wqko na kukupangia jinsi ya kukukabili.
Fanya kazi na Chama pekee.
 
Kwa hoja makini za Lissu zile. Lazima Star times wakate matangazo kuwalinda mabwana wao CCM
Ila nyie watu mna dhambi sana, hivi umewasiliana nao ukajua tatizo nini'?!!!! Mbona mnapenda Sasa kusingizia watu!!! Channel kadhaa za startimes Leo hazipatikani muda mrefu tu.....itv, startv, za kihindi kadhaa, za watoto kadhaa n.k Kwa dhambi hz si ajabu kuwaona mkiwa hamfanikiwi.
 
Maagizo toka juu=udikteta. Udikteta una historia ndefu - toka Hitler hadi Idd Amin- hadi Apertheid ...nk. na huwa hauna mwisho mzuri shauri ya damu za watu wasio hatia zlizomwagka. Na walio madarakani watakazna kuficha udikteta wao kw jinsi wanavoweza lkn iko siku. Ni kama mtu alievimbiwa anavojarbu kuficha hali yake... Ole wke akiingia hadharani kama vile kanisani, msikitini, darasani ...nk. ushuzi una tabia ya kuumbua, iko siku...
 
Mnateseka Bure nyie waovu, hakuna hata mwenye time nanyi ya kuzuia hilo......mnajistukia tu. Tatizo lipo muda tu na kwa channels nyingi tu. Mungu awaokoe kutoka kwenye kifungo hicho Cha nafsi!!
 
Nipo hapa namfuatilia LIVE. Namuunga mkono, Nipo tayari kufanya lolote, NO REFORM, NO ELECTION! Bila mabadiliko ya tume, hakuna uchaguzi kufanyika! CCM wamezoea kucheza na akili za watu kwa miaka zaidi ya 60 sasa! It has to end, Mwisho umefika.
Tuliishawazoea kutishia kwa wingi mitandaoni. Lini uliwahi kuandamana kabla? PUMBAVU!!!
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom