Tundu Lissu yuko ITV akihojiwa na kipindi cha Dakika 45, Star Times wamekata matangazo

Mwenyekiti huu sio wakati wa kuwakumbatia vyombo vya Habari kwani ni lengo la kukukwamisha kwa kupeleka Habari zako huko kwa mpinzani wqko na kukupangia jinsi ya kukukabili.
Fanya kazi na Chama pekee.
 
Dawa ya vituo vya habari hasa tv vinavyodumaza uhuru wa waTanzania kupata habari kwa misingi ya demekrasia na freedom of speech ni kwa sisi raia kuvisusia. Mimi tyr kingamuzi cha star times nimetupilia mbali. They are cowards. Wanataka sote tulishwe hoja za upande mmoja tu na kuangalia tamthilia. Shame on Star Times TV
Azam je? 🐼
 
Nipo hapa namfuatilia LIVE. Namuunga mkono, Nipo tayari kufanya lolote, NO REFORM, NO ELECTION! Bila mabadiliko ya tume, hakuna uchaguzi kufanyika! CCM wamezoea kucheza na akili za watu kwa miaka zaidi ya 60 sasa! It has to end, Mwisho umefika.
Hii elimu inatakiwa isambae
 
ni kweli hakika Lisu anatisha,kila anachogusa ccm papatupapatu
 
Mbona ITV mahojiano yalikuwa live na hakuna dosari yeyote iliyotokea wakati wa mahojiano. Huyu Jamaa kwa kweli haogopi. Anajua sana mengi yanayotendeka katika nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…