Tundu Lissu yupo Kenya kwa uzinduzi wa kitabu chake

Tundu Lissu yupo Kenya kwa uzinduzi wa kitabu chake

Namchukia kwa sababu ameamua kuwa raia wa Kenya na aendelee na Ukenya wake. Kwa msingi huu yumkini akawa na kesi za kujibu akiingia Tanzania
 
Nina damu nyingi sana za wakenya! Kila kitu kenya hivi mara vile,
Akiongea na tv kutoka kenya! Mara fyoko fyoko vile.


Watu wakaona huyu ngoja tumle kichwa kwenye box la kura!
 
Naona Lisu angekuwa rais Ikulu angehamishia Nairobi
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu ametua nchini Kenya kwa ajili ya uzinduzi wa kitabu chake, je atakuja nchini?

#Tanzania opposition politician Tundu Lissu, who has been exiled in Belgium after fleeing the country in 2020, has arrived in Kenya ahead of his book launch on Friday.

Mr Lissu will be launching his book titled “Remaining in the Shadows: Parliament and Accountability in East Africa”.

Kwamba "Who has been exiled after fleeing the country." Au siyo?

Lisu fled the country. When was this exile issued?

Sooner or later tutasikia yupo Tz. Mwandishi mmoja ajitahidi kuuliza kama anajua kuna title inasema alipigwa exile.
 
Back
Top Bottom