Tundu Lissu yupo Kenya kwa uzinduzi wa kitabu chake

😅😅mtachukia sana. Mtakufa mtamwacha Mtu wa Mungu. mtateseka sana
Hii habari ya uraia wa Kenya umeipata wapi mbona hata rais Samia juzi alikuwa huko naye amekuwa mkenya.
Wakenya hawajawahi kuwa wazuri kwa TZ sana sana wanufaike wao. Kwa hio ameamua kuwa Mkenya wa hiari na anajipendekeza na kujitolea kwa wakenya. Karopoka sana kuisema nchi kipoyoyo.
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu ametua nchini Kenya kwa ajili ya uzinduzi wa kitabu chake, je atakuja nchini?

#Tanzania opposition politician Tundu Lissu, who has been exiled in Belgium after fleeing the country in 2020, has arrived in Kenya ahead of his book launch on Friday.

Mr Lissu will be launching his book titled “Remaining in the Shadows: Parliament and Accountability in East Africa”.

View attachment 1828258
Kwanini asije nchini?? atakuja,yule mwenye chuki ayupo kwasasa,Nchi inaongozwa na Rais mwenye hofu ya Mungu, na Mtanzania halisi sio pandikizi
 
Bado hawajakata tamaa safari ya mama kusafisha uchafu wa mwendazake inaendelea.
Sasa si asafishe wote? Anangojea nini sasa?
Tena ikiwezekana aawakamate hata huo ubunge awanyanganye awafunge jela
 
Ili washenzi wengine wajitafakari. Wasipobadilika anakula kichwa.
 
Kwanini asije nchini?? atakuja,yule mwenye chuki ayupo kwasasa,Nchi inaongozwa na Rais mwenye hofu ya Mungu, na Mtanzania halisi sio pandikizi
Hilo ndio tunaloomba Nchi yetu izidi kuwa na utengamano zaidi
 
Ili washenzi wengine wajitafakari. Wasipobadilika anakula kichwa.
Mwambieni ale tu,!

Kwani si anataka kuwa na selikali safi? Na mnasema hao ndio wanamuharibia? Sasa badala ya kuawaacha waendelee kumuharibia ale vichwa vyao mapema,, mwambie asiogope.
 
Tunachotakiwa ni kufanya kazi tuwazidi ki maendeleo sio kusema wakenya sio wazuri kwetu kwa mafanikio yao.
Pamoja na hayo sera za Samia kwa sasa hazitakuwa nufaishi kwa Tz, she has to nurture private sector ya ndani with seriousness na kwa uzalendo na moyo na asiwe overwhelmed emotionally verbally hasa kwa wajanja wa mdomoni kama Wakenya. NB: Kamwe wakenya hawajawahi kuwa marafiki na never and never
 
Mwambieni ale tu,!

Kwani si anataka kuwa na selikali safi? Na mnasema hao ndio wanamuharibia? Sasa badala ya kuawaacha waendelee kumuharibia ale vichwa vyao mapema,, mwambie asiogope.
Take a breath, haya mambo hayahitaji hasira.
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu ametua nchini Kenya kwa ajili ya uzinduzi wa kitabu chake, je atakuja nchini?

#Tanzania opposition politician Tundu Lissu, who has been exiled in Belgium after fleeing the country in 2020, has arrived in Kenya ahead of his book launch on Friday.

Mr Lissu will be launching his book titled “Remaining in the Shadows: Parliament and Accountability in East Africa”.

View attachment 1828258
Elitwege
 
Lema hawezi kurudi sababu ya madeni anayodaiwa na mabenki na ikitokea amerudi basi itakuwa furaha ya mabenki kupiga mnada nyumba zake.
Ndio anakujkujakuja hivyo usishangae lema nae akaja ki style yake nae
 
ameji-exile baada ya kutoka mafichoni na kushindwa uchaguzi..
 
Pamoja na hayo sera za Samia kwa sasa hazitakuwa nufaishi kwa Tz, she has to nurture private sector ya ndani with seriousness na kwa uzalendo na moyo na asiwe overwhelmed emotionally verbally hasa kwa wajanja wa mdomoni kama Wakenya. NB: Kamwe wakenya hawajawahi kuwa marafiki na never and never
Mkuu kila nchi huwa inaangalia maslahi yake usitegemee Kenya iipende Tanzania and vice versa.
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu ametua nchini Kenya kwa ajili ya uzinduzi wa kitabu chake, je atakuja nchini?

#Tanzania opposition politician Tundu Lissu, who has been exiled in Belgium after fleeing the country in 2020, has arrived in Kenya ahead of his book launch on Friday.

Mr Lissu will be launching his book titled “Remaining in the Shadows: Parliament and Accountability in East Africa”.

View attachment 1828258
Anazindua Kitabu!!!! Na yeye Israel ameshamkaribia?
 
Back
Top Bottom