Kurmodosla
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 330
- 202
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu ametua nchini Kenya kwa ajili ya uzinduzi wa kitabu chake, je atakuja nchini?
#Tanzania opposition politician Tundu Lissu, who has been exiled in Belgium after fleeing the country in 2020, has arrived in Kenya ahead of his book launch on Friday.
Mr Lissu will be launching his book titled “Remaining in the Shadows: Parliament and Accountability in East Africa”.
Wale watu wasiojulikana waliompiga risasi kule Dodoma mpaka wajulikane na wakamatwe ndiyo anaweza kuja nyumbani vinginevyo hakuna sababu ya kuja maana uwezekano ni mkubwa wakumiongezea risasi zingine.