Tundu Lissu yupo Kenya kwa uzinduzi wa kitabu chake

Title ya kitabu Bunge na uwajibikaji inaashiria mambo mazito😎. Kitabu design hii unazindua katika land of the free-Kenya.
 
Wewe umeandika vitabu vingapi au unasubiri Lissu akuandikie kila kitu.
Niko maabara naagalia hii formula ya conservation of mass kama haina makosa. Juzi tu nilijihakikishia kwamba ni kweli elimu ya particles physics inaweza kuwa ni njia nzuri ya kuelewa mbinu za kujikinga na radiation.

Unaonaje? Niko kwenye raiti track au bado? Ila naweza kuandika kitabu cha ndoto zangu za usiku au vituko vya kariakoo na machangu doa wa sinza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…