Uchaguzi 2020 Tundu Lissu yupo tayari kwa urais wa Tanzania, hatanii

Huna lolote wewe na huna lolote ujuwalo kwenye sheria, yaani wewe nimweupe tu.

Lissu mmesha mfungulia kesi zaidi ya 6 na zote kawapigeni za shingo.

Tuna imani na Lissu na tumeamua
 
Wewe unajua nini? Uoga wenu safari hii ndiyo lazima muugue magonjwa ya moyo maana wote hao wanaingia kwenye kinyang'anyiro
utajua wewe mimi nijuavyo wote hao ni wapingaji badala ya kuwa wapinzani hadi wewe maana unapinga hata usilolijua
 
Wewe unajua nini? Uoga wenu safari hii ndiyo lazima muugue magonjwa ya moyo maana wote hao wanaingia kwenye kinyang'anyiro
unaota wewe kama si kuoteshwa ndoto za mchana mchana, lisu na membe bora yupi au kwako bora liende jinga lolote??
 
Hao wazee wakalee wajukuu
 
Wacha kurusha ngumi hewani, tulia tulii watuletee mabadiliko
unaota wewe kama si kuoteshwa ndoto za mchana mchana, lisu na membe bora yupi au kwako bora liende jinga lolote??
 
Tunataka mtu mwenye utamu wa mwili na akili kwa 100%..
Chadema for Member 2020...
 
Tabu ya Lisu anaongerea chumbani hataki kutokea sebureni, nikama mbwa koko ukisikia linabweka utafikili bonge la Mbwa lakini lisogeree uone linavyokunja mkia na kukimbilia nyuma ya nyumba. Tangia ametuaidi kuwa anarudi sasa unaenda mwaka, jasiri asemi maneno ya mipasho bali anatenda vitendo. Lisu anazidiwa na Mchungaji Mtikira R. i. p, alikuwa haogopi. Lisu anamwogopa Magufuri lasivo arudi nchini apambane, tumechoka mipasho. Mungu ibariki Tanzania
 
Msiye mpenda anakuja
 
Kwa maana hiyo sio 2020, itabidi tusubiri wamfunge kwanza adi akitoka ndio aje awe rais. Na hili la kumfunga lipo wazi sana wala halihitaji kufikiri sana. Hasa na hivi alivyotangaza kuutaka urais. Wanamsubiri kwa hamu siku atakayoingia nchini na yeye analifahamu hilo.
 
Jasiri anarudi lini maana naye sasa ameshakuwa Keyboard warrior.
Keyboard warrior,
Uanajivunia jela,polisi,Jeshi,tiss,ffu,traffick polisi,mgambo,jkt na wooote wanaolipwa kwa Kodi zetu.
Waambie Marais wastaafu na walio madarakani watembee barabarani bila walinzi wao, ili tujue Nani anapendwa kikwelikweli na wananchi.
Kabla ya tukio lenye historian mbaya kabisa ktk nchi yetu pale Dom juu ya TL,TL hakua keyboard warrior.
Ruhusu mikutano huru,ruhusu mijadala huru redioni TV na popote pale utaona Kama Ni keyboard warrior ama la.
Hata wewe CCM ikitoka sijui Kama itaendelea kuwaita wengine keyboard Warrior.
 
Akili zikikurudia utaelewa tu
 
Ubarikiwe sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…