Uchaguzi 2020 Tundu Lissu yupo tayari kwa urais wa Tanzania, hatanii

Sipendi nionekane kumzodoa ndugu Tundu Lissu, lakini nadhani hili swala la uka'ndidate' wake hajaliwazia vizuri.

Kwa mfano, kati ya wote hao alioorodhesha hakuna hata mmoja kati yao aliyewahi kumiminiwa risasi 16, na akabaki mzima.

Hili kila mTanzania analijua na kulielewa vyema kumhusu Tundu, hana haja tena ya kuliweka mbele. Kinachotakiwa kwake sasa hivi si kujitetea kwa binafsi yake, bali kuitetea Tanzania iondokane na mambo mabaya kama yaliyomkuta yeye.

Kampeni zake ni mhimu azielekeze kwenye mambo ya haki za wananchi pamoja na maendeleo yao kiujumla.
 
Comment mzuri sana kiongozi
 
Mkuu mbona povu hata hatuna pa kukanyaga! Jamaa ni warrior lakini hayupo huku na sisi na anawasiliana nasi kwa Keyboard, sasa tumwiteje?!
 
Mkuu mbona povu hata hatuna pa kukanyaga! Jamaa ni warrior lakini hayupo huku na sisi na anawasiliana nasi kwa Keyboard, sasa tumwiteje?!
Tulia dawa ikuingie vyema maungoni ili upone sawa sawa
 
Mayalla mimi sikuwezi ndugu yangu, karibu sana usagara Nyamadooke tupate ugali kwa nyingu
 
mimisiyo katili sababu ninawatoto nataka waione tz yao ikinawiri chini ya jpm huyo lissu atakuja kutubadirishia chi yetu iwe ya kishoga maana ndiyo wafadhiri wake na hilo mtabisha wakati kila siku tunamuona nao wanapiga picha
Yaaan huo utu uzima wako unaona point ndio ushoga? Poleeeh sana muambie huyo yesu mpya mjini aache kuomba msaada kwa hao mashoga, khaaaah hovyooooh
 
Acha longolongo. Rudi nyumbani ukabiriane na kifungo ili uupate huo Urais. Acha kupiga kelele Kama mwoga wa kutembea usiku peke yake.
 
Tuliza mzuka huyo ndiyo rais wako anaye subiriwa
Acha longolongo. Rudi nyumbani ukabiriane na kifungo ili uupate huo Urais. Acha kupiga kelele Kama mwoga wa kutembea usiku peke yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…