Msomi Tundu Lissu anatarajiwa kurejea nchi wakati wowote ili aweze kuendelea na ziara zake mikoani ambazo ndio amekuwa akizutumia kama chanzo kikuu cha mapato yanayotokana na michango ya wananchi wanaohudhuria mikutano yake.
Imekuwa ni tabia ya huyu msomi kukusanya hii michango na kurejea ugaibuni. Karibu sana Msomi.
Imekuwa ni tabia ya huyu msomi kukusanya hii michango na kurejea ugaibuni. Karibu sana Msomi.