Tunduli Lissu kurejea wakati wowote kuanzia kesho Oktoba 6, 2023

Do not be silly, wewe ni mweka hazina wa chadema kuwa una ushahidi wa hilo?
 
Vepe Mwamba bado hajarejea tu?,
au kurejea wakati wowote bado inaendelea......
 
Wakuu naomba mniambie huyu tundu lisu ni nani mana namsikiaga tu. Na anakuja kufanya Nini Tanzania wakati ni raia wa ubeligiji na watoto wake wapo huko. Hivi sisi hstuna akili mpata tumsubili mbeligji?
 
Karibu mpambanaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…