Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Weraaaa weraaaaaa maji peleka ChatoHabari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
Asante sana, mwambieni awapelekee maji kwake CHATO. Sijawahi kuona rais wa OVYO kama huyu ********!Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
Pumba tupu! Miaka yote 60 ya uhuru mlikuwa wapi?SEMA WEWE NA FAMILIA YAKO MNAOSHINDA NA KULALA HUKO VIJIWENI. LAKINI SISI WENYEFAMILIA NA TAASISI HAPA TUNDUMA, KURA ZETU NI CCM KWAKUWA MAJI NI MUHIMU SAANA.
Tuanzie hapa?SEMA WEWE NA FAMILIA YAKO MNAOSHINDA NA KULALA HUKO VIJIWENI. LAKINI SISI WENYEFAMILIA NA TAASISI HAPA TUNDUMA, KURA ZETU NI CCM KWAKUWA MAJI NI MUHIMU SAANA.
buku 7 huyoPumba tupu! Miaka yote 60 ya uhuru mlikuwa wapi?
Awamu hii hamtoboi, ng'ombe anachinjiwa alipoangukia
Kwanini unataka kufaham ninapo kaaTuanzie hapa?
Unakaa Tunduma sehemu gani?
Kwani tunachimba nini mpaka tutoboeePumba tupu! Miaka yote 60 ya uhuru mlikuwa wapi?
Awamu hii hamtoboi, ng'ombe anachinjiwa alipoangukia
We endelea kunywa gahawa hapo lumumbaSEMA WEWE NA FAMILIA YAKO MNAOSHINDA NA KULALA HUKO VIJIWENI. LAKINI SISI WENYEFAMILIA NA TAASISI HAPA TUNDUMA, KURA ZETU NI CCM KWAKUWA MAJI NI MUHIMU SAANA.
Jimbo la KONGWA ni moja kati ya Majimbo yenye Shida ya Maji nchi hii sijapata kuona...Niko kwenye jimbo la Ccm tunatumia visima vya kuchimba wenyewe
SEMA WEWE NA FAMILIA YAKO MNAOSHINDA NA KULALA HUKO VIJIWENI. LAKINI SISI WENYEFAMILIA NA TAASISI HAPA TUNDUMA, KURA ZETU NI CCM KWAKUWA MAJI NI MUHIMU SAANA.
Watu wengine basi tu siasa hawaziwezi.Habari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
Hao wakina mama sio watu?'Au wao kuteseka ni haki yao.Watu wenye akili wanapozungumza mambo ya akili kama huelewi bora ukakaa kimya.Mkuu acha kupotosha umma wanaohangaika kwa ukosefu wa maji na akina mama wanao amuka sa8 za usiku kwenda kuteka maji siyo wewe mhuni unaeamkia vijiweni kupiga porojo.
Acha wananchi Tuchague maendeleo hivyo vyama vyenu msituhusishe navyo.
Ripoti kituoni haraka sana....utanikuta hapa kituo cha mwendokasi buguruniHabari wangu?
Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
Mkuu acha kupotosha umma wanaohangaika kwa ukosefu wa maji na akina mama wanao amuka sa8 za usiku kwenda kuteka maji siyo wewe mhuni unaeamkia vijiweni kupiga porojo.
Acha wananchi Tuchague maendeleo hivyo vyama vyenu msituhusishe navyo.