The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Sasa kwani Sumbawanga Kuna malori? Ila Sasa Sumbawanga Kuna magari private mengi kuliko hapo Tunduma licha ya makelele yote hayo.Alafu Sumbawanga makao makuu ya mkoa wa Rukwa petro Station hazizidi 10
Sio Kila kitu sema bidhaa za viwandani ila vyakula bei ni Juu sana plus lodgingSio electronics tu.. yaani karibu kila kitu.
Ombeni Bandari ya beira Msumbiji na Angola ziendelee kuwa vibaya ila siku yaja hiyo yote itakuja kupungua sana.Ukivuka tu Boda kuingia nakonde, unaona hata tofauti ya uvaaji wa nguo...vinguo vifupi kwa wanawake.
Ile Boda ya Tunduma pana pesa sana na issue ya SADC inasaidia sana kwenye movement.
Ushuru Zambia ni mdogo, pia pesa yao inashikika.
Hakuna kitu ni Kijiji kama Vijiji vingine vya namanga,sirari nkumefika mtukula?
Binafsi sipendi kuishi sehemu yenye vurugu na unorganized kama hapo Tunduma etc.Tunduma ni kijiji kilichochangamka
Hakuna Hoteli za hadhi hapo, wafanyabiashara na Machinga Huwa hawalali hotelini ila huko kwenye ma lodge na GuestsKkoo habari ingine mazee
Africa inasemekana Ethiopia ndo Wana soko linakaribiana na kkoo
Tunduma mbona hotel za maana hazifiki hata 10?..
Anyway Tunduma ni mji wa magendo toka Enzi za Nyerere
Tunduma ukienda kwa ajiri ya starehe mkuu apakufai ila kwa mtu anae jitafta ni Bora kwenda tunduma kuliko kwenda dar.Tunduma ni kijiji kilichochangamka
Mkuu Tunduma kama Unaenda kujitafta ni sehemu nzuri japo sio pazuri sana pale mkuu ndo sehemu Tanzania unaona watu wameshika miela mkononi wanaichezea tu [emoji16] unaweza kupoteana hawa jamaa vipi Kumbe ndo kazi yao.Haya maelezo yaani utafikiri tayari nipo tunduma.Yanavutia.
Yao la kienyeji ni sh.800 Sasa sijui msosi upinunaosema bei ndogo.Tunduma ukienda kwa ajiri ya starehe mkuu apakufai ila kwa mtu anae jitafta ni Bora kwenda tunduma kuliko kwenda dar.
Mimi naona ukishindwa kuishi Tunduma wewe sehemu zote uwezi kuishi
Pale vitu ni Bei ndogo Sana sio msosi sio pakulala ukiwa Tunduma unapata advantage kubwa ya vitu vikipanda upande wa bongo unafuata upande wa zambia.
Mpaka mabando pale ukiwa na laini ya zambia unatumia vizuri tu maana mtandao unashika vizuri tu,unaweza pata GB2 kwa 10kwacha ambayo kwa kibongo ni kama 1350 tu.
Wewe naona unapitaga ndani ya gari tu watu wenye mpo ndani ya gari lazima mpigwe bei iyo ipo sehemu yote.Yao la kienyeji ni sh.800 Sasa sijui msosi upinunaosema bei ndogo.
Ondoa msosi vingine ni bei ndogo
Huko ni mabandani ambako mstaafabu hawezi kuja kula hata usafi ni shida na vile Mji wenu hauna maji ni shida tupuWewe naona unapitaga ndani ya gari tu watu wenye mpo ndani ya gari lazima mpigwe bei iyo ipo sehemu yote.
Tunduma Kuna machaka ugari maharage na mboga za majani jero tu [emoji16] unapewa na advantage ya kachumbari ya free.
Sijui ulifika lini Sumbawanga mkuu Petrol station zipo zaidi ya hizo unazosema weweAlafu Sumbawanga makao makuu ya mkoa wa Rukwa petro Station hazizidi 10
Tunduma ukienda kwa ajiri ya starehe mkuu apakufai ila kwa mtu anae jitafta ni Bora kwenda tunduma kuliko kwenda dar.
Mimi naona ukishindwa kuishi Tunduma wewe sehemu zote uwezi kuishi
Pale vitu ni Bei ndogo Sana sio msosi sio pakulala ukiwa Tunduma unapata advantage kubwa ya vitu vikipanda upande wa bongo unafuata upande wa zambia.
Mpaka mabando pale ukiwa na laini ya zambia unatumia vizuri tu maana mtandao unashika vizuri tu,unaweza pata GB2 kwa 10kwacha ambayo kwa kibongo ni kama 1350 tu.
Mkuu Tunduma kama Unaenda kujitafta ni sehemu nzuri japo sio pazuri sana pale mkuu ndo sehemu Tanzania unaona watu wameshika miela mkononi wanaichezea tu [emoji16] unaweza kupoteana hawa jamaa vipi Kumbe ndo kazi yao.
"Karibu kila kitu"... soma ueleweSio Kila kitu sema bidhaa za viwandani ila vyakula bei ni Juu sana plus lodging
Yule yahaya bureau de change bado yupo hapo wazeee
Nmeuza sana fedha za kigeni hapo
Ova
Kuna madogo pale wanapesa Hadi unaogopa. Mfano yule Dogo mwenye Maduka ya kuuza matajiri na Vituo Vya Mafuta Frame nyingi pale kuanzia Round about ni za huyo dogo , anawavua watu nyumba Bei za Kariakoo na Ilala na Mwenzie yule mwenye Maduka ya kuuza simu na Hotel jirani na Soko la Mazao ana Supply simu na accessories nyingine karibu Zambia yote na Lubumbashi, Au huyu Tajiri agent wa bidhaa zote za Madukani Kwa Wahindi ana Supply bidhaa Hadi Zambia. Piya amejenga Kiwanda Cha Kusindika Mafuta ya Kula amejenga Upande wa Zambia , na Malighafi yake ananunua Soyabeans wakulima waxambia wanapeleka Nakonde kwake,Pale kukuta watoto wa miaka miaka 22 wana mipunga mirefu kawaida sana