Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Hizi ni purely side effects za ugonjwa wa brainwashing mlipoaminishwa kuwa awamu hii mngekuwa mnaendelea kusalimisha rasilimali za nchi mkiwa paleeee Chamwino Ikulu from Oktoba 28! Tuliwaambia labda Ikulu ya Belgium mnazungumzia, mkaishia kutuzodoa na kutuvurumushia mitusi yenu togwa! Mngetusikiliza those times, hizi syndromes zisingefikia Stage 4 Chronic sasa, ambayo kwa mujibu wa madaktari bingwa wa saikolojia & mfumo wa fahamu, ni completely unreedemable! Survival chance ni EXTREMELY tiny!Tutajiua!!
Tutaua!!
Tutauawa sana!!
Kweli muhutu kaharibu nchi
Maisha yanatisha
Mitano tena,,,,,,
Uchumi wa kati,,,,,
Au nasema uongo ndugu zanguuuuu.....