Tunduru: Mama aua mtoto wake kwa sumu ya panya kwa masharti ya kupata kazi za ndani Arusha

Tunduru: Mama aua mtoto wake kwa sumu ya panya kwa masharti ya kupata kazi za ndani Arusha

Tutajiua!!
Tutaua!!
Tutauawa sana!!
Kweli muhutu kaharibu nchi
Maisha yanatisha

Mitano tena,,,,,,
Uchumi wa kati,,,,,
Au nasema uongo ndugu zanguuuuu.....
Hizi ni purely side effects za ugonjwa wa brainwashing mlipoaminishwa kuwa awamu hii mngekuwa mnaendelea kusalimisha rasilimali za nchi mkiwa paleeee Chamwino Ikulu from Oktoba 28! Tuliwaambia labda Ikulu ya Belgium mnazungumzia, mkaishia kutuzodoa na kutuvurumushia mitusi yenu togwa! Mngetusikiliza those times, hizi syndromes zisingefikia Stage 4 Chronic sasa, ambayo kwa mujibu wa madaktari bingwa wa saikolojia & mfumo wa fahamu, ni completely unreedemable! Survival chance ni EXTREMELY tiny!
 
Kwakua n tunduru nawez kuotea uyo n standard 1(e),,,all in all wamhoji vzur itakua ata mwajir wak alishaur ivy labd
 
Dah kiu ya kazi hadi anaua damu yake, tamaa mbaya, Sasa wakamate na baba watoto aliyekimbia family.
Hana kosa.Huyo m.mke hana ubinadamu.
Kama mtoto aliyemzaaa kwa uchungu na mpk kutoa haja kubwa labour amemuuua hvyo tena, mtoto mkubwa anamiaka 4.... Unafikir alishndwaje kumuuua baba wa mtoto???

Mm naamin usingle mother ni roho ya ushetani sometimes
 
Single mother... wana shida..
 
Back
Top Bottom