Tunisia nchi tajiri Afrika, hairuhusu hijab, kwanini?

Serikali kuongozwa kidini hulemaza sana taifa, kwa mfano Iran ni watu wenye akili ila wanacheleweshwa sana na dini ya Kiislamu, sasa hivi wangekua supapawa.
 
Mbona Masister wa kanisa la Roma wanavaa hijabu ?
😑🤣🤣Kwani mtoa mada kalenga nini?

Kama ni wanafunzi katika shule za serikali sioni mantiki ya hilo sababu marasi wakidai kwamba watoto wao hawataki kunyolewa ndiyo Imani yao itakuaje?

Ok yupo mshkaji muhindi mama baba mpemba mkasi haukuwahi kupita katika kichwa chale sababu za Imani yake
Shule za serikali watu wavae kama kawaida.

Shule za Islamic ni sawa hijabu zivaliwe.
 
Binafsi ili vazi hasa mashuleni naona lina athari kwakuwabagua wanafunzi kwa Imani ili swala lakujua yule pale ni Islamic na yule sio nimbaya sana
Huna hoja hapo
Hijabu sio lazima ivaliwe na muislam mzeee
Waarabu sio wote ila wengi hijab na kanzu wameeka ama wamefanya kama sehemu yao yamaisha

Yaani ukitaka kujua huyu muislam ama yule mkristo kwa kuangalia hoja ya kanzu na hijab unakosea
 
Miaka zaidi ya 60 tokea mupate huo unaoitwa uhuru lini umewahi kuona athari hasi ya hijab?

Nakama umeiona ni ipi?
 
Kwa akili zako unaona hijabu inaathiri nini kwenye kusoma na maendeleo kwa ujumla??

NB

Hakuna muislamu waka nchi ya kiislamu inayoweza kupinga hijabu, ukiona hivyo hapo kuna agenda za watu zishaingia.


Mfano kwa sasa mfalme wa saudia hata akisema hijabu isivaliwe, ni sawa kwake maana ana agenda zake ambazo si za kiislamu
 
Naona wameamua kudhirisha chuki zao wazi wazi siku baada ya siku
 
Miaka zaidi ya 60 tokea mupate huo unaoitwa uhuru lini umewahi kuona athari hasi ya hijab?

Nakama umeiona ni ipi?
Hijabu imeruhusiwa Rasmi kutumika taasisi za serikali wakati wa Mwinyi. Athari kubwa ni mgawanyiko wa taifa ukienda maofisini, mashuleni wavaa hijab wanajenga taswira ya udini. Unaweza ukadhani ni ofisi ya waislamu kumbe ya serikali.
 
Hijabu imeruhusiwa Rasmi kutumika taasisi za serikali wakati wa Mwinyi. Athari kubwa ni mgawanyiko wa taifa ukienda maofisini, mashuleni wavaa hijab wanajenga taswira ya udini. Unaweza ukadhani ni ofisi ya waislamu kumbe ya serikali.
Sio kweli
Tunakaa na wakristo tuna fanya nao kazi tumesoma nao mavyuoni nk na wanavaa hijab
 
Kuna watu wanachanganya dini na culture.

Waarabu wanavaa kanzu , baraghashia na hijabu kutokana na hali ya hewa kule kwao ni asili ya jangwa hivyo mavazi yale ni ideal.

Ila kuna watu wengine wanachukulia kuvaa hivyo ndio dini yenyewe.
Hawaelewi hili wengi wao ikiwemo mtoa mada
 
Mada inahusiana na hijabu lakini wala sio niqabu

Kuhusiana na huyo msabato na huyo mtoto hao ni wao

Pia upo sahihi na hao wenyewe wapo sahihi mie mwenyewe nlikua sehem dukani mini market

Akaja mmama na mwenzie wakaiba ndoo ya sabuni wakasepa ila tuliwastukia tokea ishu inaanza tukawadaka ila mmoja alistuka akakimbia tuka mdaka mmoja

Ila hoja hapa ni hijab 🧕 na wala sio niqabu
 
Serikali kuongozwa kidini hulemaza sana taifa, kwa mfano Iran ni watu wenye akili ila wanacheleweshwa sana na dini ya Kiislamu, sasa hivi wangekua supapawa.
Nanyie huko kwenu mnalemazwa nanini au mnaongozwa na mas haf kama katiba ya nchi😀🤣😀

Hongereni kwakuizidi iran kiuchumi
 
Na wale masister nao wanavaa ili kuuonesha uislam wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…