ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Hayo ni yale unayoyajua kua anayafanya na anapata hayo unayosema anamiliki.Huoni labda kuna mengine huyajui na yanafanywa naye,ilimradi apate sifa kua ana mafanikio?Anamiliki ghorofa
Ana Kazi katika media, ubalozi katika makampuni na pote wanamgombania kwa dau kubwa
Kubwa zaidi huwa anapewa hadi promotions za issues za kiserikali
Hiyo ndio reward ya kuwa kama mwijaku. Ndio standard ya kuwa influencer mwenye mafanikio Tanzania.. Ndio future ya hii generation. Pole mkuu
Kuna ambao wanafanya mapenzi pia kinyume na maumbile ili muwasifie kua wana mafanikio,sijasema Mwijaku ni mmoja wao.