Tuombe Mungu sana watoto wetu wasijekuwa kama mwijaku maana huku alipofikia inasikitisha

Tuombe Mungu sana watoto wetu wasijekuwa kama mwijaku maana huku alipofikia inasikitisha

Kwa hiyo tuache Watu wafanye kazi hata kinyume na maadili mfano rushwa, Umalaya , ushoga , bange, madawa ya kulevya ilimradi yanawapelekea maendeleo basi tuwachekelee ??
Yaani kwa mtazamo wako mtu afanye vyovyote hata vya kumkosesha heshima na utu wake kwenye jamii ilimradi anapata maendeleo ??

Kwa hiyo hata jambazi aendelee kufanya ujambazi ilimradi unampa maendeleo ??!
Hii mentality ndio inatuharibia vijana.

Mtu anakuwa akiona uchawa na kudanga ni bora kuliko kazi nyingine yenye staha, hata kama ikiwa na kipato kidogo.

Hawa ndio role models wa vijana wetu, you can imagine.
 
Mzoee, ndivyo alivyo.

Vijana wengi nchi zilizoendelea hutumia disabaility au weakness zao zozote kua strength na kupiga pesa kupitia mitandao.

Hii kwa sasa Africa nayo imekua common way ya kujiingizia maokoto.
Wale watu wafupi sana au warefu sana wanatumia mionekano yao kupiga pesa.
Kwa lijamaa huwa linatikisa kitambi tu, na linalipwa parefu, kuna yule dogo Tenge muonekano wake unampa mpunga mzuri tu.

Hao kina Mwijaku, Baba levo, Doto magari and the likes, ni viumbe waongeaji/waropokaji wasio na haya.
Wao kuropoka chochote hawaoni tabu na ndio udhaifu/uimara wao ulipo na wanautumia in +ve way unawapa pesa.
Kama tungekuwa tumefikia level ya hata South Africa tu kwa maendeleo isingekuwa tabu.

Ila kwa umaskini huu mapema kabisa tunazaliza role model wa aina hii.

Nilifikiri labda media zingekuwa zinawapa nafasi watu kama kina Dr. Asha Rose Migiro and the likes ambao wamefanikiwa kimataifa ili wawe mfano bora kwa vijana wetu , waone elimu na nidhamu inalipa.

Sasa tukiendekeza watu wa aina hii, sisi ambao tupo tabaka la chini tutaendelea kuzalisha vizazi ambavyo havitakuwa na uwezo wa kushindana popote.

Tunaweza ona ni sawa tu ila kuna hatari kubwa itakuja baadae.
 
Mzee ile ni mbinu ya kusaka pesa, kama ilivyo wasanii na sanaa zao.

Nao wanatumia kipaji chao, unasifiwa unalipa, hivyo.
 
Mwijaku ni graduate wa udsm department of creative arts. Amesoma shahada ya sanaa bunifu na maigizo.

Hapo yupo kazini. Ndicho alichosomea
 
Ila watanzania bana Sasa mlitaka aonekane anauza bangi? Au kaonekana kwenye video chafu mnataka watu waweje kwenye nchi kama hii ajira ni changamoto??
Anatafuta Kwa Halali kabisa anaingiza pesa Kwa halali kabisa bila kumdhuru mtu Kwa upande wangu sijaona tatizo lolote hapo
 
Huyu jamaa naona uchawa ndio kageuza ajira yake Rasmi.

Inasikitisha namna mtu anavyojidhalilisha kusifia binadamu wengine.

Naamini hata Mungu mwenyewe hapendi.

Napenda kumshauri huyu ndugu atafute shughuli nyingine au anaweza fungua kampuni ya PR awe msemaji wa celebrities na watu wataohitaji huduma kama zake, badala ya kujidhalilisha namna hii.

Yaani hii clip anayosifia bango la harusi ya mobeto limenisikitisha mno, na kunifanya niombee wanangu wasije kuwa machawa. Inasikitisha mno.

Badilika ndugu mwijaku bado una muda wa kufanya hivyo.

View attachment 3236829
Huyu ni zombie!
 
Mzee ile ni mbinu ya kusaka pesa, kama ilivyo wasanii na sanaa zao.

Nao wanatumia kipaji chao, unasifiwa unalipa, hivyo.
Akitokea mtu akakuambia nkushike kalio nlipapase nkupe pesa utakubali(msamahani kwa swali langu hilo lkn)

Ova
 
Akitokea mtu akakuambia nkushike kalio nlipapase nkupe pesa utakubali(msamahani kwa swali langu hilo lkn)

Ova
Unapenda kushikwa tako kijana??

Hii mada inahusiana vipi na kushikana matako??

Hapo juu nishawaambia watu wanatumia madhaifu yao kujiingizia kipato, hao kina Mwijaku ni talkative, watu wapenda sifa na kupayuka hovyo. Sasa kuliko kupayuka kijiweni kwenye kahawa yeye anapayuka mitandaoni kwa kusifia watu hovyo.

Ndo ivo sasa wewe unamuona mwehu ila ndio ana followers kibao, mashabiki kibao wanaompa pesa na deals lukuki na serikalini anajulikana na kupewa michongo.
 
Kwa hiyo na wewe ume follow
Mkuu

Ova
 
Hiyo kaz itakuwa ndo kipaj chake kwamb hata asingekuwa anafanya mtandaoni angefanya anafanya hivyo katika maisha yake ya kawaida.
Kwa mfano mim binafsi nawaona hata wanasiasa waliowengi kama unavomuona mwijaku.

Lakin yote tisa, sio sahihi kuipathaman kaz ya mtu kwakuwa inamlipa fedha nyingi. Tukienda kihiivo bhasi ni rasim tuish kama hayawan.
 
Kama wakina stv nyr....alianzaga kwenye ukuwadi...ukuwadi ukuwadi kajiupgrade....Leo huyo dhifa za kitaifa wanamuita

Ova
 
Kweli vyote anavyo ila pata picha vijana wote au kijana wako anakuwa na mtizamo wa uchawa kama Mwijaku.

Kuna jamii nyingine zimekuwa na maendeleo sababu ya watu walio bora ,sababu marole model walio wazunguka wanafanya vitu vya maana kwa kutumia akili na talent zao na si kujipendekeza mf China. Sometimes China unaweza ukaona wanakosea ila kwa kufilter content za Tiktok na kuondoa vitu vya kipuuzi na kuviacha vya maana,ila ukitizama impact ya social networks ktk kujenga kizazi kilicho bora na chenye mitizamo chanya kwa maendeleo ya jamii China wapo sawa.

Machawa siku hizi wapo mpaka sehemu za kazi,wanawadidimiza wengine kisa yy ni chawa wa boss.Mfano kama huyo Mwijaku kwa tabia yake Kisha chafua Image ya Tanasha akatishia kumpeleka kwa Pilato akaomba Msamaha, juzi kachafua Image ya KP kampeleka mahakamani wameombana msamaha yameisha, hivi huoni huyu jamaa ni mtu wa hovyo,pamoja na hivyo anavyo vimiliki maana yupo tayari kuwaharibia wengine ili yeye atrend.
Hakuna kazi insyofanywa na watu wote, mgawanyiko lazima uwepo ili Dunia iendelee kuzunguka.
 
Hiyo kaz itakuwa ndo kipaj chake kwamb hata asingekuwa anafanya mtandaoni angefanya anafanya hivyo katika maisha yake ya kawaida.
Kwa mfano mim binafsi nawaona hata wanasiasa waliowengi kama unavomuona mwijaku.

Lakin yote tisa, sio sahihi kuipathaman kaz ya mtu kwakuwa inamlipa fedha nyingi. Tukienda kihiivo bhasi ni rasim tuish kama hayawan.
Mtandaoni kuna madem kazi yao kukatika matako tu kuonesha misambwanda....kuanzia asubuhi mpaka usiku ...na wao wanapiga hela

Ova
 
Hakuna kazi insyofanywa na watu wote, mgawanyiko lazima uwepo ili Dunia iendelee kuzunguka.
Uchawa sio kazi kabisa wengi ni watu wakujipendekeza,wanapenda kuwadidimiza na kuwaharibia wenzao ndio maana nimetoa mfano wa Tanasha na Masoud Kipanya walivyo fanyiwa na huyo mpuuzi.

Sawa tafuta ugali wako ila husiwaumize wala kuwaharibia wenzako.
 
Lakin pia tusiwalaumu akina mwijaku. Ninaona tz ya sasa ishapigwa kwenye mshono yaani hakuna watu machawa kama wanasiasa na watawala kwa ujumla. Mfano angalia bungeni, ukijifanya uko serious ujue wanapita nawew.
Humu jamiini angalia akilli za akina Lucas Mashamba sijui Mashwabwa utagundua kitu.
Kuna kipindi Pfof. kutoka kigoma alitinga bungen na watu aliowaita chawa wa Mama yake kutoka huko huko mwisho wa reli. Je. Unadhani Taifa liko katika hali gani kama uchawa uko mpaka kwa maprofesa?
 
Li
Kama wakina stv nyr....alianzaga kwenye ukuwadi...ukuwadi ukuwadi kajiupgrade....Leo huyo dhifa za kitaifa wanamuita

Ova
Nkwel mkuu ila ujue hao hao wakitaifa ni machawa experts na ndo wanatuharbia sura na akili za serikali na taifa.Tutakuja jikuta tuna taifa la vikatun katuni maana tumechagua njia ya vikatuni.
 
Li

Nkwel mkuu ila ujue hao hao wakitaifa ni machawa experts na ndo wanatuharbia sura na akili za serikali na taifa.Tutakuja jikuta tuna taifa la vikatun katuni maana tumechagua njia ya vikatuni.
Mambo ya viewers sjui followers
Imewafanya watu wanafanya mambo ya kipmbv kabisa
Watu wamekuwa wendawazim kabisa !

Ova
 
Back
Top Bottom