Tuongee Kifamilia leo, kama unataka kuoa au kuolewa na mna imani za dini tofauti jitafakari upya

Katika ndoa hasa mijini wanaume wengi ni wajinga ndio maana zinawakuta zahama mbalimbali kuanzia kunyonywa kimatumizi hadi kunyang'anywa mali na wake zao ndoa zinapovunjika.

Mume ukishakosea mwanzoni tu mwa ndoa mnapoanza kuishi pamoja huko mbeleni huwezi badilisha kitu kwa kuingiza utaratibu au sheria mpya.

Mwanaume kamili anapooa lazima ambane mkewe abadili dini pili kama anamruhusu mke abaki na dini yake lazima aweke wazi kuwa watoto watafuata imani yake baba na anapozaliwa tu afanye .mchakato mara moja kumuingiza,mtoto katika dini yake tangu akiwa mchanga.

Hapo ni too late mume hana ujanja hjo ushauri utakaowapa mke akikataa hauwezi kutekelezeka na ninavyoona watoto watafuata dini ya mama.
 
Akitaka watoto waende upande wake, awabadilishe kuanzia ubini, kabila na kila kitu...then awabadilishe kuwa wa dini yake, then yeye atangaze kuwa kichwa cha familia...
...manake kama baba na mume, nitakuwa nimeshindwa kuiongoza familia yangu.
 
Huyo mzee anautashi mkubwa lakini inaonesha hakupita madrasa
 
Baba yako ametawaliwa na mama yako wala tusizungushe Maneno, na hili linakwenda kuathili maisha yako ya mahusiano moja kwa moja kwa sababu huwezi kuona makosa makubwa ya ubinafsi wa mama yako.

Mwana umleavyo ndivyo akuavyo, Mungu akusaidie hekima kwa kujifunza kwenye mijadala kama hii kujuwa aina ya wanawake wa binafsi kama mama yako.

Kama Baba yako kweli hana tatizo na hilo moyoni mwake basi angeshabatizwa kuingia ukristo.
 
Huyo mzee anautashi mkubwa lakini inaonesha hakupita madrasa
Unaremba Maneno tu, Mzee ametawaliwa na mke wake, fullstop.

Na hii inakwenda kuathili mahusiano ya Watoto wake moja Kwa moja.
 
Mwanamke afuate dini ya mume....kwisha mzozo.....mbwembwe nyingi dini zenyewe tumeletewa na jahaz hizi
 
Mwanamke siku zote hana dini wala umiliki wowote ule hapa duniani taka wasitake ...
 
Hakika hilo ni gumu sana. Umeongea ukweli mtupu. Nyege zinapelekea wapendanao kupuuza hayo makubwa yanayokuja mbeleni. Issue ya tofauti ya dini si jambo la kupuuza hata kidogo!
 
hapo nilipoweka highlight na bold na rangi. Huyo mwanamke kama mm ndo mume wake hakuna rangi ataacha kuona. Basi tu kuna wanaume wengine ni wavaa suruali tu siyo wanaume
 
Tuanze kwanza hao watoto wanaitwa majina ya kina Arab au ya wagalatia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…