Tuongee Kifamilia leo, kama unataka kuoa au kuolewa na mna imani za dini tofauti jitafakari upya

Tuongee Kifamilia leo, kama unataka kuoa au kuolewa na mna imani za dini tofauti jitafakari upya

Upande wa baba yangu wote ni waislam…..
Baba yangu kaja kuoa mama ambae ni mkristo watoto wote 7 ni wakristo hakuna hata alieenda kwa baba

Mzee mwenyewe alikuwa anatupeleka mpk mlangoni kanisani hataki mtu nyumbani jumapili ila yeye hajawai kuingia kanisani

Kwaiyo sisi tumeongeza ukoo wa kikristo kwenye familia ya mzee

Ni raha na Hakuna vita wala sijawahi kusikia wakigombana kisa dini

Hao ni wazee wa zamani sijui wa sasa kama munaweza
 
Wanawake wengi tu tunaitwa kwa majina ya kwa waume hata tukifa unazikwa kwao na mume, inakuwaje kubadili dini ndo ilete kelele? Ukikubali kuolewa fuata utaratibu, hata kesho nimeangukia kwa muislam nitabadili dini, haina mjadala

Anaetakiwa kufuata dini ya mwenzie ni mwanamke ukiona wenzi wanaishi kila mmoja kwa imani yake ujue kiongozi wa hiyo ndoa ni mwanamke na mwanaume yupo kama jina tu
 
Upande wa baba yangu wote ni waislam…..
Baba yangu kaja kuoa mama ambae ni mkristo watoto wote 7 ni wakristo hakuna hata alieenda kwa baba

Mzee mwenyewe alikuwa anatupeleka mpk mlangoni kanisani hataki mtu nyumbani jumapili ila yeye hajawai kuingia kanisani

Kwaiyo sisi tumeongeza ukoo wa kikristo kwenye familia ya mzee

Ni raha na Hakuna vita wala sijawahi kusikia wakigombana kisa dini

Hao ni wazee wa zamani sijui wa sasa kama munaweza
Kasim Majaliwa yupo
 
Wa sasa jaribu hivyo msipoishia kugawana majengo ya serikali mmoja mortuary mwengine jela.
 
Upande wa baba yangu wote ni waislam…..
Baba yangu kaja kuoa mama ambae ni mkristo watoto wote 7 ni wakristo hakuna hata alieenda kwa baba

Mzee mwenyewe alikuwa anatupeleka mpk mlangoni kanisani hataki mtu nyumbani jumapili ila yeye hajawai kuingia kanisani

Kwaiyo sisi tumeongeza ukoo wa kikristo kwenye familia ya mzee

Ni raha na Hakuna vita wala sijawahi kusikia wakigombana kisa dini

Hao ni wazee wa zamani sijui wa sasa kama munaweza
Kuhusu kitimoto inakuaje? Home Mnakula au la? Na baba akiwepo mnakula au hapana? Vyombo vya chakula navyo mmetenga vya mshua au anajichanganya tu, hata vilivyopikia na kuliwa kitimoto
 
Hata vita zenye mrengo wa kiimani au kikabila huuawa wanaume na sio wanawake, kwahiyo ni wazi anaebeba dini kwa uzito wa juu ni mwanaume,
 
Imeshatokea, ila tukitaka kutatua jambo hili lazima turudi kwenye mzizi wa muungano wao.

Je, ndoa imefungwa? Au sogea tuishi? Kama ndoa imefungwa, ilifungwa katika misingi ya dini Gani? Dini hiyo iligofungwa ndoa ndiyo imani wanayopaswa kufata watoto. Kwa sababu ndoa haifungwi katika imani mbili tofauti. Aliyekubali kufungwa kwa ndoa, alikubali kuikana imani yake na anashurutishwa kukubali watoto walelewe katika imani husika.

Pili, swala la kuegemea upande wa mtoaji si sahihi hata kidogo. Kumfuatisha imani Fulani kwa sababu tu ndiye mtunzaji wa familia si jambo lenye afya. Hali za kiuchumi hubadilika Kila kukicha, je watoto nao wabadili imani kadri ya hali ya uchumi wa wazazi unavyobadilika? Hapana. Lakini pia, utaleta utegemezi kwa upande mmoja. Mwanamke atawaasa watoto wahudumiwe Kila kitu na baba Yao kwa sababu tu walifuata imani Yake.

Tatu, mgawanyo wa watoto kiimani ni swala gumu zaidi. Hii itaigawa familiaa katika vipande viwili. Ukweli ni kuwa, Kila mzazi atachagua kuwapenda 'zaidi' watoto wa upande wake kiimani. Na jambo hilo likitokea familia hiyo haina budi kutengana.

Nne, mwanamke Hana dini. Kukubali kuingia katika familia Fulani ni kukubaliana na mambo Yao yote ikiwepo imani. Unaweza usibadili mienendo yako ila ni shurti kufata njia zao na kuziheshimu. Unaacha mambo yako huko, unayavaa yale mapya.

Sasa, ili kutatua kero hii lazima upande mmoja ukubali kushindwa.
 
Watoto wote Wawili wanatumia ubini wa baba yao na Kabila ni baba yao.

Wanawake naomba mjifunze kitu hapa, otherwise wale wahuni wa Kataa ndoa watazidi kupata ushindi mkubwa.
Hakuna kesi hapo kama anataka akili kuwa alichepuka na muislamu mwezie
 
Mwanamke akikubali kuolewa na mwanaume lazima akubali kuwa mwanaume ni kichwa cha familia hivyo mtoto atachukua jina,dini na kabila la mwanaume huyo.Hivyo kabla ya kuoana ni vyema akajitafakari kabla ya kufanya maamuzi
 
Kwa mfumo wa taifa letu ulivyo, nadhani sisi tunatumia "patrina system"(mwanamke kuolewa na mwanamke).Hivyo mwanamke asilimia kubwa anakuwa chini ya mwanaume kimahamuzi zaidi(baba ni msemaji mkuu na mtoa mahamuzi wa mwisho katika familia yake).

Nakuwa na mashaka,hivi huyo baba hao watoto ni wakwake kweli?...

Kwasababu,
ukijaribu kutizama kiundani zaidi! Inaonyesha baba anaye paswa kuwa kichwa Cha familia,kashindwa kusimamia nafasi yake.
Familia ya mwanamke inakauli kumzidi.
Nimakosa ya mwanaume kuishi/kufuata kauli toka ukweni!.

Hivyo basi,

Kwakuwa watoto wameshazaliwa tayari na wapo kwenye mifumo ya kielimu(elimu dunia na elimu akhera).Wawa ache tu Ili wasiwavuruge kiakili.Kwakuwa majina wanayo ya tumia niutamburisho tosha wawao ni wadini gani.

Wanaweza kugombana Kwa sasa, lakini Baada ya miaka kadhaa ya watoto kubalehe wakaja jiamulia wenyewe kwamba, wawe waislamu/wakristo/wapagani n.k.
Hivyo ata kile walichogombania wazazi kikawa hakina maana Tena.

Pia hao wazazi wazingatie kuwa Mungu haitaji dini wala Dhehebu(Mungu ni wetu sote),anachohitaji ni Imani ya mwanadamu zidi yake tu!.

Hayo masuala waachane nayo, kwakukubari mmoja wapo kujishusha tu.Washirikiane zaidi katika suala la maendeleo zaidi.

Ongea zaidi na yule ambaye anakaulewa kidogo! kando,Ili ajishushe.Alafu mkalimaze Ili tatizo maana hiyo ndoa ipo mashakani tayari.Inatafutwa sababu tu!
 
Mimi naona watu wasijaribu tu kuishi mkiwa dini tofauti labda mmoja amfate mwenzie moja Kwa moja
 
Umeonyesha udhaifu mkubwa sana kwenye huu uzi.
Ipo hivi, mume ndio kichwa cha familia na kama hivyo basi mke anapaswa afuatane ama aambatane na mume wake.
Yaani ndani ya nyumba mke na mume wanaweza wakajadiliana jambo, lakini mwisho wa siku mume ndio anabaki kua mtoa maamuzi ya mwisho.
Ingekua mimi ndio wewe ningewaambia mke afuate kile anacho kisema mume, kama anaona ngumu basi ningewashauri waachane kwa amani tena kisheria/kwa maandishi
Pointttttt✌️✌️✌️✌️✌️!
Mume mzembe! Anatakiwa yeye ndie atoe maamuzi
 
Kunafamilia hazina masihara
Nilipata mchumba wa dini nyingine mahari ilirudishwa yani ulikuwa ugomvi sio mdogo kilandugu alikataa kupkea tukaambiwa Hadi jibu litoke inafungwa ndoa Kwa dini ipi niliona naonewa mno ila mwisho nikajua Kuna matashiti ya kutosha kwenye ndoa za aina hiyo Bora uwe. Na subra tu olewa na oa wa dini Yako
Kabisa!
 
Nitaandika kwa kifupi tu, kuna case nimeshindwa kuipa suluhu nimeitwa kuleta amani kwenye nyumba ya hao wana ndoa.

Wewe ni mwanamke muislamu olewa na mwislamu mwenzako, na kama wewe mwanaume ni Mkristo owa Mkristo mwenzako.

Issue ni ngumu, Mkristo kaka mwanamke muislamu kipindi mahaba ndindindi, Sasa ndoa imejibu Watoto Wawili, mwanamke wote anadai ni Watoto wake na wote wanapenda madrasa za kiislamu.

Sasa sitaki mada hii iwe ni mihadhara au jukwaa la kukashifu dini nyingine, nimeweka hii mada ili kuitwa ushauri wa bure.

Ikiwa mwanamke na mwanaume mmekubaliana kuweka dini zenu pembeni na mfunge ndoa bomani basi jitahidini na swala Watoto mkubaliane wakizaliwa wafuate imani gani au mgawane vipi urithi wa imani kwa Watoto na kwa hali ya Sasa muandikishiane kisheria ili lisilete tabu baadaye.

Nawapenda sana Mama zangu na Dada zangu lakini ukweli uko wazi wao ndio tatizo, wanaume huwa hawana ligi za kijinga.

Nimewashauri acheni Watoto wakiwa adult wachaguwe imani wanayotaka ila mke wa ndoa anasema Watoto ni wake, ila kimoja kipengele cha school fees mke ndio anatambuwa kama Watoto wana baba.

Nimehairisha hii case namuomba Mungu anipe busara sijui muhafaka utapatikana vipi? Inasikitisha sana Watoto wadogo kuwaharibu kisaikolojia kurithi dini za wakoloni.

Kwakweli mnaotegemea kuowa au kuolewa na watu wa dini tofauti msilipuuze hili muandikishiane kwa Wakili kama mlivyofunga mkataba wa ndoa serikalini.

Wacha nipate kwanza lager zinipe hekima kulimaliza.
Kwenye ada ndo mke anatambua watoto ni wa baba, dah😀
 
😃

Hili litazamwe kwenye katiba mpya
 
Back
Top Bottom