mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Upande wa baba yangu wote ni waislam…..
Baba yangu kaja kuoa mama ambae ni mkristo watoto wote 7 ni wakristo hakuna hata alieenda kwa baba
Mzee mwenyewe alikuwa anatupeleka mpk mlangoni kanisani hataki mtu nyumbani jumapili ila yeye hajawai kuingia kanisani
Kwaiyo sisi tumeongeza ukoo wa kikristo kwenye familia ya mzee
Ni raha na Hakuna vita wala sijawahi kusikia wakigombana kisa dini
Hao ni wazee wa zamani sijui wa sasa kama munaweza