Tupa kule Mondi, kutana na Grand P celeb anayemiliki mtoto mkali Afrika nzima

Tupa kule Mondi, kutana na Grand P celeb anayemiliki mtoto mkali Afrika nzima

Mie nashinda huko insta kushuhudia futuhi zao, yaan wanachekesha hadi baas,
Kuna clip huyu mmama alikua km anamkalia jamaa (kupakatwa), jamaa alitoa kelele na ile sauti km nyuki na lafudhi isiyoeleweka,
Nilicheka nusu nizimie wallah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo mama kafata hela tu wanawake huwa wana mahesabu ya hata kiaka 10. Hawa dizain ya huyu jamaa huwa wanaishi miaka 14 hadi 17 kama sikosei anakuwa na umri sawa na mtu wa kawaida wa miaka 80. Hivo huyu dada keshapiga hesabu zake vizuri anavumilia miaka 7 ama 5 ya masimango na aibu then jamaa akivuta anabaki na kila kitu chake
Wewe umejuaje kafata pale hela? Kwani upo kwenye moyo wake?
 
Kwanini unasema tupa kule Mondi, kwahiyo mkuu hao madem aliozaa nao Mondi ndio unaona ni pisi kali sana? Hamissa? Zari? Tanasha? Dah jitahidi utembee tembee mkuu
 
Hivi uzuri wa huyu dada ni upi?? Labda mm nimeangalia Tofauti lakini hakuna lolote hana uzuri wowote..Congo pale kuna dada anaitwa Amida yule ndio chombo.
 
Back
Top Bottom