Huyo mwanamke au grand p wanatumia jina gani insta?Mie nashinda huko insta kushuhudia futuhi zao, yaan wanachekesha hadi baas,
Kuna clip huyu mmama alikua km anamkalia jamaa (kupakatwa), jamaa alitoa kelele na ile sauti km nyuki na lafudhi isiyoeleweka,
Nilicheka nusu nizimie wallah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]