Tupac aliwaza mbali sana kuhusu suala la kuleta watoto duniani

Baba Hearly angekuwa na mawazo haya tungekuona wapi sie?

Wenye vizazi waachwe wazae.. mnaotunza mayai tunzeni mkaangie chips
Tumeshaongea sana humu kuhusu Hilo , Kuna ukweli mkubwa sana kuhusu bandiko lako

Tatizo ni ile mentality tuliyo mezeshwa na Jamii zetu kwamba binaadamu anapaswa kuzaa lakini in reality Dunia sio sehemu salama Kwa binaadamu
 
Mnaotetea hili bandiko, kuna lolote mnalofanya kuhakikisha dunia au hapo ulipo panakua mahali salama kuishi binaadamu na viumbe vingine?! Au nyie nyie ndio machawa na mashabiki wa tawala dhalimu zinazoteka na kuua na kuiba uchaguzi?
 

Yes nalijua hilo but tukiamua tunaweza.

Na hao wamiliki wa dunia hawataki hata kusikia kuhusu hilo. Inasemekana Tupac aliuwawa kwa sababu hiyo..

So haitakuwa kazi nyepesi lakini inawezekana
 
Yes nalijua hilo but tukiamua tunaweza.

Na hao wamiliki wa dunia hawataki hata kusikia kuhusu hilo. Inasemekana Tupac aliuwawa kwa sababu hiyo..

So haitakuwa kazi nyepesi lakini inawezekana
Tupac source ya kifo chake imesha tajwa Sana mbona p.didy was behind that , Hata documentary ya the reckoning aliyoiachia 50 cent imegusia hizo habari
 
Yawezekana mkuu huna mbegu za kuzalisha au hauko rijali kama Bashite, hivyo unaamua kujificha kwenye kivuli cha maneno ya Tupac.
 
Tupac source ya kifo chake imesha tajwa Sana mbona p.didy was behind that , Hata documentary ya the reckoning aliyoiachia 50 cent imegusia hizo habari
Huyu mtoa uzi siyo ridhiki ndiyo maana anatafuta justification ya kutokuwa na watoto. Who is Tupac after all mpaka leo ufuate alichofanya?
 
Yawezekana mkuu huna mbegu za kuzalisha au hauko rijali kama Bashite, hivyo unaamua kujificha kwenye kivuli cha maneno ya Tupac.
Wewe mwenye mbegu za kuzalisha ndio ukiona habari ya mtoto kulawitiwa unakuwa wa kwanza kukomenti " Mungu nilindie kizazi changu"
 
Mkuu achana na wendawazimu we walete tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…