Tupac aliwaza mbali sana kuhusu suala la kuleta watoto duniani

Hata kama wasio na watoto wanaishi vizuri kuliko wenye watoto lakini hao wasio na watoto kuishi kwao vizuri kunategemea uwepo wa watoto wa wenzao. Kama unapinga watoto kuzaliwa basi inabidi ujiondoe duniani umeze vidonge ufe lakini sio kutamani kuishi sababu ni unataka watoto wa nani ndio wakupe huduma mbali mbali hapa duniani?
 
Kweli kabisa mkuu halafu in addition to that, mimba ya Tupac ilipatikana mama yake akiwa Gerezani. At the time, Mamake Tupac alikuwa kaolewa na jamaa anaitwa Somebody Shakur, Ila mimba alipewq na jamaa anaitwa Bill Garland ambae ndio baba halisi wa Tupac. Mume wa mamake Tupac alipogundua hilo aka m divorce mamake Tupac so Tupac hakumjuaga baba ake mzazi mpaka mwaka 94 akiwa hospital alikopigwa risasi. Tupac aliwahi kuhojiwa kwenye show kubwa ya TV marekani ( clips zipo YOu Tube) akasema " Mungu kamlaani kuiona dunia" Maisha ya duniani aliyafananisha nna laana.. Na aliwahi kuimba akisema akifa wasimlilie kwa sababu hana furaha na maisha ya duniani.. Kwenye musicians wake na interviews zake, Tupac ana onyesha alishuhudia uovu mwingi sana ukifanyika dhidi ya watu hasa manauaji ya watu weusi yaliyofanywa na askari wazungu au mauaji ya weusi dhidi ya weusi. Hadi alitoa Wimbo unaitwa Blasphemy ambao ameongea Mambo mazito kuhusu Mungu
 
Hii ni project ya miaka 4 to come na it a work zaidi kama itafanywa na watu wote duniani. Lengo ni kumshinikiza alie tuleta duniani aondoe uovu duniani. Tunakuwa tunapeleka ujumbe kwake.. Vinginevyo uovu hautaisha duniani kwa sababu mnaendelea kuzaliana yeye huko anaona mmeridhika na maisha mnayo ishi.
 
Kama unamjua vizuri na umesikiliza nyimbo zake zote na kutazama interview zake zote, basi unapaswa kuwa unajua kwanmba aliyafananisha maisha ya duniani na laana na uwepo wake duniani aliuchukulia kwamba ni Mungu alikuwa amemlaani kumleta kwenye sayari hii.. Alihoji kwanini Mungu kamlaani kuyaona maisha ya duniani.. Alisema akifa watu wasimlilie kwa sababu hana furaha duniani
 
Mie nitaendelea kupiga mkojo na kuleta watoto mpaka siku naondoka duniani.
Kwa sababu wewe ni mkatili ( cruel) . Unaleta watoto hujui utaishi miaka mingapi, unaweza kufa wakiwa na miaka miwili halafu watabaki kuteseka tu. Acha ukatili mkuu
 
Kwanini unaita ukatili?
Ukiwa wewe mpka saiv unang'ang'ania kuishi kwenye dunia ya wakatili

Iko hivi watu hatufanani na hatutafanana wewe ishi kwa njia zako pamoja na wenzio wenye mawazo kama yako

Halafu sisi wenye mtazamo wa kuzaliana tuacheni
Watu mnafanana bana.. Wote mtakufa
 
Kwa sababu wewe ni mkatili ( cruel) . Unaleta watoto hujui utaishi miaka mingapi, unaweza kufa wakiwa na miaka miwili halafu watabaki kuteseka tu. Acha ukatili mkuu
Nawapambania hata nikifa wasiteseke... kuna watu duniani hawaoni hizo tabu wala ubaya wa kuzaliwa na hao wazazi mkuu..
Chimbuko la haya yooote ni hali ya uchumi katika familia.
Mtoto wa bakhresa hawezi kuwa sana na mimi wa kule MPITIMBI nimezaliwa ni jembe, kula ya tabu, shule suruali imechanika makalioni etc.. mzee mwenyewe tu akitutizama watoto anajisikia vibaya, sisi watoto tu tukipata shida tunaona aibu hata ya kumwambia mzee..

Vuta picha uko vizuri kiuchumi, watoto wanachotaka wanapata hata kama sio kwa wakati lakini wanapata tena kwa 90%
Kuna raha 3 ninazo..
Kumpa hela (mahitaji)mama yangu mzazi
Kutimiza mahitaji ya wanangu
Kutimiza mahitaji ya mke wangu

KIsha kunaniongeza, kusaidia mtu mwingine, kikubwa tu asinione mie kama benk(hapa atanichefua)
 
Hizo ni propaganda za kishetani.
 
Vipi kama hakuna aliyetuleta duniani?
Ni ngumu kuwa hivyo. Kwa sababu kwa namna tulivyo obviously lazina yupo alie tuleta. Tumekuwa designed. Upo uwezekano tumeletwa kwenyw sayari hii kwa ajili ya kuwa punished
 
Tatizo umeutazama uovu kwenye angle moja. Yes utawapa hivyo but dunia haitoacha kuwa punish na uovu. Itawapa magonjwa ajali etc
 
Hakuna falsafa yoyote hapo.... Kwahiyo wazazi wake walikosea kumleta duniani... Hakuna falsafa Wala psychology inayoelezea kwamba dunia ni sehemu salama au dunia imewahi kuongozwa na watu wema. Kuanzia Sumeria ,Egypt, Roma, Byzantine, Babylon, Inca, Maya na Leo America hizi zote ni age za undava undava.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…