Hakuna uthibitisho wa kisichokuwepo dogo, kisichokuwepo hakithibitishiki au hakithibitiswi. Hapo ulipo sasa hivi unapokula vitumbua na chai ya rangi kama humuoni paka wa njano au Sungura anayeongea ni kwamba hawapo.Una uthibitisho shetani hayupo?
We jamaa mbona una akili kisoda, et watawala wanategemea watu kwani ww hutegemei watu, nguo,simu,vinywaji,vyakula si vinazalishwa na wenzio so binadamu wote tunategemeana(ecosystem).Sijui umenielewa my point is uwepo wa binaadamu ni Benefits Kwa watawala wafanya-biashara and the likes ili waweze kuendelea kutajirika na vizazi vyao viendelee kubaki kuwa kwenye chain ya utawala + utajiri wana hitaji watu
Watu ndio mtaji wa kwanza katika maisha ya opportunities, watauza madawa watakusanya Kodi , watauza mbolea watauza Mavazi watauza silaha watauza vyakula watauza Vyombo vya usafiri etc
So endapo binaadamu tukiwa hatuzaliani Tena it means next 300 yrs to come binaadamu hawato exist Tena duniani
So do you think Hilo kundi la watu tajwa linalo tawala watu katika nyanja mbali mbali litakubali binaadamu watoweke halafu wao wata tajirika vipi !? Kodi watapata wapi !? Bidhaa zao wata muuzia nani Tena !?
Yuko sahihi, kwa hapa tulipofikia watu(mass population) wanahitajika zaidi duniani na watawala na kwa ajili ya mfumo wa kibepari uweze kuendelea kushamiri. Capitalism inahitaji mass consumption na cheap labour kuweza kuendelea kushamiri.We jamaa mbona una akili kisoda, et watawala wanategemea watu kwani ww hutegemei watu, nguo,simu,vinywaji,vyakula si vinazalishwa na wenzio so binadamu wote tunategemeana(ecosystem).
Kama unaamini yupo aliyetuleta basi kuna mambo mawiliNi ngumu kuwa hivyo. Kwa sababu kwa namna tulivyo obviously lazina yupo alie tuleta. Tumekuwa designed. Upo uwezekano tumeletwa kwenyw sayari hii kwa ajili ya kuwa punished
Kwani mtu akifa wapi imeelezwa ni lazima mlie?Hujisikii vibaya kuleta mtu ambae mwisho wake ni kufa. Watalia watu wengi sana kwenye msiba wake. Huoni wewe ndio chanzo cha hilo tatizo?
Usimpangie Mungu kuondoa uovu tu lakini pia anaweza akafanya revision ya mwanadamu jinsi anatakiwa awe labda awe bila akili.Maovu mengi yanasababishwa na binadamu kuwa na akili tofauti.Hii ni project ya miaka 4 to come na it a work zaidi kama itafanywa na watu wote duniani. Lengo ni kumshinikiza alie tuleta duniani aondoe uovu duniani. Tunakuwa tunapeleka ujumbe kwake.. Vinginevyo uovu hautaisha duniani kwa sababu mnaendelea kuzaliana yeye huko anaona mmeridhika na maisha mnayo ishi.
Mungu yupo kweli Ila wa kwenye biblia na kuruan ni Mungu wa mchongo alafu tukija kwa shetani sio kiumbe ni nafsi ileile ya Mungu yenye pande mbili.Hao ni wahusika wakutunga kukuteka kisaikolojia tu!
Huna Akili wapi nimesema sitegemei watu you imbecile!?We jamaa mbona una akili kisoda, et watawala wanategemea watu kwani ww hutegemei watu, nguo,simu,vinywaji,vyakula si vinazalishwa na wenzio so binadamu wote tunategemeana(ecosystem).
Nina watoto 5 na wajukuu 7, umri wangu miaka 60Wewe mwenye mbegu za kuzalisha ndio ukiona habari ya mtoto kulawitiwa unakuwa wa kwanza kukomenti " Mungu nilindie kizazi changu"
Huwezi jua ajali na uovu wanaokutana nao kwenye pumbu na oval.. hatujui sote.. usikute huko wanateseka zaidi.😂🤣Tatizo umeutazama uovu kwenye angle moja. Yes utawapa hivyo but dunia haitoacha kuwa punish na uovu. Itawapa magonjwa ajali etc
Celebrating Freedom: Opening with the famous lines, "Out on bail, fresh out of jail," Tupac joyously embraces his newfound liberty. It is an expression of relief and rebirth after an eight-month incarcerationAliwahi kuulizwa " Kwanini huna mtoto Hadi sasa hivi?" Akajibu " Siwezi kuleta binadamu aje kuishi kwenye duniani hii yenye kutawaliwa na waovu na kila aina ya uovu. Kwa kufanya hivyo nitakuwa nimewatendea watoto wangu uovu mkubwa sana.. "
Ukiyatafakari maneno ya Tupac ni kama alikuwa na hoja... Sasa hivi pia kuna movement ya watu wanao kampeni Rhodi ya kuzaa watoto.. Wanasema " Hakuna binadamu muovu kama yule anae leta mtoto duniani. Kwa sababu unajua kabisa dunia ni ovu na inatawaliwa na waovu na matendo mengi maovu lakini bado unadiriki kuleta watoto duniani. Unafanya hivyo ili iweje?
Unajua duniani kuna magonjwa, kuna kifo etc lakini bado unaleta watoto. Wewe uta kuwa ni muovu na mbinafsi sana" Watu Hao wanaendesha kampeni ya kuwashawishi watu waache kuzaa ili kuwaepusha watoto wao na uovu wa dunia, na kauli mbiu Yao ni " I LOVE MY CHILDREN SO MUCH TO BRING THEM TO THIS EVIL WORLD ".
Ukitazama kwa makini utagundua kuna chembechembe za ukweli ndani yake, hata kwa upande mwingine watu wasio na watoto ndio wanaishi kwa Uhuru na furaha zaidi kuliko watu wasio na watoto. Wema Sepetu anaweza kuwa na furaha zaidi kuliko wewe mwenye watoto. Ikitokea habari " Mtoto kalawitiwa" ni wewe mwenye watoto ndio unakuwa desperately ku coment * Mungu nilindie kizazi changu".
There is something which is not right about the life in this world. Dunia haikuwa tayari kupokea watu ama Sisi ndio hatukua tayari kuishi kwenye safari. Yawezekana tupo hapa duniani kimakosa..