Serikali ijenge zao
Basi na misikiti ijenge yao ili pasiwe na wivubugando na kcmc zote ni za serikali nyerere mungu amlaani ndio aliyewapa makanisa na serikali inalipa mishahara hapati chochote na haina sheya
Kwa hiyo mnalipiza kisasi kwa mfano dhaifu kama huo!!! Hivi unafahamu hata muhimbili ilikuwa ya kanisa? Hizo hospitali zinatoa huduma sawa kwa watu wote, na huwa haziulizi dini yako ili kupewa upendeleo wa huduma.Huo mkataba uletwe hadharani tuchambue vipengere vyake kwanini kanisa aneficha huo mkataba kama uko fair........kuna kilichofichwa nyuma ya pazia wananchi tunapigwa na kinisa iwe je serikali iendeshe hospitali zote za kanisa na shule wakati huo wanatoza ada kubwa kwa ajiri ya matibabu.
Zamani zilikuwa zinaendeshwaje? Wenye hospitali, hata siku moja, hawakuwahi kuomba msaada serikalini. Ni Serikali ndiyo iliyokuwa imewaomba.Hizo hospital zitafungwa,hawawezi survive bila kuweka mrija hazina
ni strategy mkuu, wala usihangaike, hoja ya bandari imemzidi bi mkubwa wametumwa kuhamisha goli, sisi tudai bandari yetu watanganyikaMmeanza kuandika nyuzi za Pumba tupu JF cku hizi watoto wanaongezeka Kila siku
ili tubalance na bandari? tunataka bandari yetuHospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
Unataka kusema DP inamilikiwa na waislam, na hivyo wanateka kushirikiana na Serikali waiendeshe bandari yetu?Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
Leteni hayo maombi ya serikali inaomba kanisa iwalipe waendeshe hizo hospitali.Zamani zilikuwa zinaendeshwaje? Wenye hispitali, hata siku moja, hawakuwahi kuomba msaada serikalini. Ni Serikali ndiyo iliyokuwa imewaomba.
Mwambie ostadhati aulete,serikali si ndio iliombaHuo mkataba uletwe hadharani tuchambue vipengere vyake kwanini kanisa aneficha huo mkataba kama uko fair........kuna kilichofichwa nyuma ya pazia wananchi tunapigwa na kinisa iwe je serikali iendeshe hospitali zote za kanisa na shule wakati huo wanatoza ada kubwa kwa ajiri ya matibabu.
Hizi hospitali zilijengwa na makanisa lakini zilitaifishwa na serikali ikazichukua 100%. Serikali ilipoona zinawashinda ndio zikaomba waliozijenga wazichukue tena kwa makubaliano kuwa zitatumika kama hospitali za rufaa. Hizi hospitali zinamilikiwa 100% na makanisa, hela zinazotoka hospitali ni kuziwesha ziendelee kutoa huduma kwa gharama ambayo wewe na mimi tunaweza kumudu. Hii ni tofauti na hospitali ya Aga Khan inayomilikiwa na taasisi ya Kiislamu ya kiismailia ambayo hawana ushirikiano na serikali. Wote tunajua gharama za Aga Khan au ile ya wahindu ya Hindu Mandal. Mnatakiwa kuwashukuru wakatoliki na walutheri kukubali hospitali zitumike kama hospitali za rufaa. Msijidanganye kuwa haziwezi kujiendesha bila ushiriki wa serikali. Ushirikiano huo ukifa kama mnavyotaka watapandisha gharama zao na zitakuwa kama za Aga Khan.Hizo hospital zitafungwa,hawawezi survive bila kuweka mrija hazina
Kwani Kuna mgonjwa analazimishwa kwenda kutibiwa hukoHuo mkataba uletwe hadharani tuchambue vipengere vyake kwanini kanisa aneficha huo mkataba kama uko fair........kuna kilichofichwa nyuma ya pazia wananchi tunapigwa na kinisa iwe je serikali iendeshe hospitali zote za kanisa na shule wakati huo wanatoza ada kubwa kwa ajiri ya matibabu.
Hakuna tofauti ya Bei kati ya hizo hospital ulizotaja,Tena za kanisa Bei juu, serikalini Bei chini,kwa nini hospital za kanisa zinazopata ruzuki Bei iwe juu!?..na Kwa nini serikali isaidie biashara za kanisa!?..yaani serikali itie ruzuku halafu useme imeshindea zuendesha!?..tumia akili,haijalishi agha Khan kuwa Ismailia au laa,kwa nini hawakupewa mkataba waliopewa kanisa!?Hizi hospitali zilijengwa na makanisa lakini zilitaifishwa na serikali ikazichukua 100%. Serikali ilipoona zinawashinda ndio zikaomba waliozijenga wazichukue tena kwa makubaliano kuwa zitatumika kama hospitali za rufaa. Hizi hospitali zinamilikiwa 100% na makanisa, hela zinazotoka hospitali ni kuziwesha ziendelee kutoa huduma kwa gharama ambayo wewe na mimi tunaweza kumudu. Hii ni tofauti na hospitali ya Aga Khan inayomilikiwa na taasisi ya Kiislamu ya kiismailia ambayo hawana ushirikiano na serikali. Wote tunajua gharama za Aga Khan au ile ya wahindu ya Hindu Mandal. Mnatakiwa kuwashukuru wakatoliki na walutheri kukubali hospitali zitumike kama hospitali za rufaa. Msijidanganye kuwa haziwezi kujiendesha bila ushiriki wa serikali. Ushirikiano huo ukifa kama mnavyotaka watapandisha gharama zao na zitakuwa kama za Aga Khan.
Amandla...
Unamdanganya nani babu!?..na kuondoa ushuru kwa bidhaa za taasisi za dini pale bandarini ni serikali ndiyo iliyotaka au ndiyo utenda kaza wa mfumo kristo!?..mawakala wa kanisa kutafuta namba ya kulipa unafuu kanisa!?Zamani zilikuwa zinaendeshwaje? Wenye hospitali, hata siku moja, hawakuwahi kuomba msaada serikalini. Ni Serikali ndiyo iliyokuwa imewaomba.
Unaweza kulinganisha gharama za kutibiwa KCMC na Aga Khan? Aga Khan haikuingia katika MoU kwa sababu hospitali ya Aga Khan haijawahi kutaifishwa wakati za wakristu zilitaifishwa. Ndio maana hata Bakwata haikuhusika kwa sababu shule yao ya sekondari ya Kinondoni haikuwahi kutaifishwa. Shule za wahindu ( Jangwani na Azania) hazikurudishwa kwa wahindu. Shule za wa Ismailia ( Tambaza na Zanaki) zilirudishwa kwa makubaliano maalum baina yao na serikali. Kwa mfano walirudishiwa hostel zao.Hakuna tofauti ya Bei kati ya hizo hospital ulizotaja,Tena za kanisa Bei juu, serikalini Bei chini,kwa nini hospital za kanisa zinazopata ruzuki Bei iwe juu!?..na Kwa nini serikali isaidie biashara za kanisa!?..yaani serikali itie ruzuku halafu useme imeshindea zuendesha!?..tumia akili,haijalishi agha Khan kuwa Ismailia au laa,kwa nini hawakupewa mkataba waliopewa kanisa!?