Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Asante mungu kwa nafasi hii,Heri ya Pasaka wana JamiiForums,
Mimi ni Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum.
Ninayo furaha kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nimekuwepo hapa tangu 2015 kama msomaji zaidi lakini sasa rasmi nitakuwa active member...
Hatua ni kuonana na Afisa Ustawi wa eneo lako tafadhali ngazi ya wilaya au mkoa, tafadhali usifanye ukatili, inawezekana kufikia ufumbuzi wa amani. Iwapo utakwama popote kwenye hatua hizo usisite kuwasilisha kwa msaada zaidi. ShukraniAsante mungu kwa nafasi hii,,,,mh waziri mke wangu alishakata taraka tangu 2019 na bado tunaishi pamoja hadi leo nikiamini Ni mke wangu wa ndoa,na mm nimekutana nayo mwez januari mwaka huu na sijamwambia ila naumwa mawazo na Sina Amani juu yake huyu mtu,nikichukua hatua gani katika hili nisionekane kutenda ukatili???nimeihifadhi hii nyalaka kwa faida zangu na hajagundua Kama nishaiona na niko nayo,nifanyeje?
I see karibu sana Mama/dada etuHongera Mh. Waziri kwa uamuzi huu
Wewe ni moja kati ya mawaziri wanaojua wanachokifanya katika serikali hii
Naamini utasaidia wengi humu.
Karibu Jukwaani Mama , hapa panahitaji uvumilivu kidogo .Heri ya Pasaka wana JamiiForums,
Mimi ni Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum...
Mh Waziri karibu sana Jamii forum....hakika hili ni jukwaa la kupata taarifa nyingi sana kutoka kwa jamii.
Ombi langu kwa wizara yako...
[emoji28] ahsante Sana, nawasoma wote maoni yenu halafu nitarejea baadaeBila Shaka huu ni ujasiri wa kutosha! Karibu sana , hapa utaoata facts, umbea , majungu, fitna ... Kila kitu ,!
Ngoja nianze Kwa kukudokeza tu...idadi ya Maafisa Ustawi ya Jamii,ni ndogo mnomno,angalieni namba ya kutatya hili, ona wadau wanavyo shauri ...