SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
☝🏿Mama mabinti huku p2 wamefanya pipi.
Tafadhari, elimu inatakiwa.
Usitusumbulie Waziri wetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
☝🏿Mama mabinti huku p2 wamefanya pipi.
Tafadhari, elimu inatakiwa.
Heri ya Pasaka wana JamiiForums,
Mimi ni Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum.
Ninayo furaha kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nimekuwepo hapa tangu 2015 kama msomaji zaidi lakini sasa rasmi nitakuwa active member.
Naamini JF itakuwa sehemu nzuri ya kupokea maswali, maoni na mawazo yenu kuhusu namna tunavyoweza kuboresha maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake, na watu wenye makundi maalum nchini Tanzania.
Hivyo, ninawakaribisha nyote kushiriki kwenye majadiliano haya na mimi niko tayari kujibu maswali yenu na kusikiliza maoni yenu na hata kuyafanyia kazi haraka pale inapobidi.
Unaweza kutoa maoni yako kwenye mjadala huu au kupitia ujumbe wa faragha (PM).
Karibuni
Sheria inawahusu hao watoto lakini umaskini walionao wazazi wao, unawahusu zaidi.Habari za Asubuhi Dada yangu Doroth.
Nimekaa kwenye Sheria kwa muda mrefu , nina uzoefu sasa miaka 24 tangu niingie Kwenye kazi.
Sheria ya mtoto inataka Welfare of the Child na inalinda mtoto , nina maswali machache:-
Sheria haiwahusu watoto wadogo wanaojipanga mataa usiku kuomba mpaka saa nane usiku, mataa ya Sta Peters, Morroco, Mwenge, Ubungo , Posta Dar es salaam? Sheria haiwahusu watoto wanaobebwa mgongoni na wazazi wao wanaouza maparachichi kwenye mataa ya kwenda masaki hapo St Peters, wanachomwa na jua kuanzia asunbuhi mpaka jioni? Sheria haiwahusu watoto ambao mahakama imewapa custody wanawake na wanawake wanazuia waname kuwaona watoto?kama sivyo, wanaume hata wakifanya enforcement mahakama huwa haizingatii, ila mtoto anahitaji mapenzi ya baba na mama . Je, Hawa wanaotoa mimba kwa wanafunzi na wanafahamika , hospitali zao na vituo vya afya, wanatoa kisheria?
Yako mengi ila kwa wizara hii ya maendeleo ya jamii ni Watoto, Wazee, Wajane, na Wafanyabiashara ndogo ndogo.Kuuliza si ujinga nini maana ya mkundi maalumu?