Tupe mbinu zako unawezaje ishi mjini bila kazi ya kudumu?

UtdProfile_

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2021
Posts
255
Reaction score
314
Unawezaje kuishi mjini, kama DSM, bila deal la maana

๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”
 
Tunafanya biashara zile watu wanazoona za kiduanzi....kwa siku naficha 6450.....
Nyingine naficha buku 3....ila kwenye chamu uongo ndo nauli na hela ya kula..
.michezo..
Vicoba....day waka night drive....saidia fundi....vibarua vya kulima kwenye masaiti na nje ya mji....kuokota chupa etc
 
Naaaam blood umenena points hapaaa
 
Nakaa karibu na mochwari maiti ikichukuliwa cha machana naenda kula huko
 
Back
Top Bottom