Tupe mbinu zako unawezaje ishi mjini bila kazi ya kudumu?

Tupe mbinu zako unawezaje ishi mjini bila kazi ya kudumu?

Wengine sehemu zenye misiba ndio kambi si ajabu msiba magomeni kulala mbagala wengine ulala hapo hapo kwenye msiba.
Kwenye msiba watu hawajuani, kwani ukisema marehemu ni jamaa yangu wa karibu nani anajua mjini hapa, muhimu kuwa bize na shughuli msibani mfano kuosha vyombo,kusomba viti,kugawa msosi.
Mjini upiti kilometa 7 ujaona turubai.
 
Back
Top Bottom