Tupe mkasa wako ulivyoishia kumuoa uliyedhani utapiga na kusepa

Duh mkuu inatisha sana mtafute umuombe msamaha ikiwezekana omba toba kwa muumba wako hii dhambi haitokuacha salama itatafuna kizazi kacho inauzunisha sana kwa nesi
 
Dah, ulifanya umafia sana 😎
 
We jamaa umenichekesha sana, hivi huyo jamaa yako amewahi kusikia unamuita mke wake guluguja au ni kiwakilishi tu umekitumia hapa [emoji3][emoji23]

(Najaribu kumuumbia picha huyu guluguja lakini nashindwa, naishia kucheka tu)
 
Mkuu uligundua lini huyo ni wa hayo majina unayomuita?

Hata kama humtaki huyo anabaki kuwa mzazi mwenzako.

Umheshimu.
 
Kila
 
Hahaaa wadada wa huko Wana sura personal Sana, Ila jamaa avumilie tu hamna namna
 
Mungu akulipe.
 
Kuna demu nilipiga nikiwa chuo halafu nikamkimbia, baada ya miaka kadhaa nakutana nae kwenye ofisi flani amekua matata, chura kama loote, nikasema ngoja nirushe tena ndoano, mtoto akaingia kingi nikaanza kujipigia kilainiii mpaka hapa ninapoongea ni my precious wife, mama wa watoto watatu na ni mke bora kabisaa
 
Kuna jamaa yangu mmoja alikuwa na house girl wake. Akawa anakwenda home kwake asubuhi na kuondoka jioni. Mara akahamia. Akawa anakaa na bosi wake. Nilipowatembelea tena baada ya muda mrefu nikakuta ana mtoto na wameoana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…