Tupe mkasa wako ulivyoishia kumuoa uliyedhani utapiga na kusepa

Namshukuru Mungu nilie naae hata kabla sijapiga nilijisemea tu huyu ndio mwenyewee na kweli ikawa hvyo...

Yani kuna wanawake ukikaa nao tu unajua huyu nisipoweka ndani nitatakiwa kwenda kupimwa akili
 
Sijawahi kuwa na mdada eti nasema kabisa hapa "napiga nasepa" haijawahi tokea maishani

zinatokeaga tu zile za kulana kimasihara nyingi ila inapokuja swala linaloanzia "kutongozana"

asee siwezi kumwambia dada yyte nakupenda halafu kumbe sina future nae "siwezagi" kbsa

nikikurushia maneno,tukapanga kbsa appointment,yani taratibu zte nikafanya ili ajue nimemuelewa

na niko serious nae namuhitaji (huwa ni real) sijawahi fake,otherwise tuwe tu marafiki tuje tukulane kimasihara.
 
Siku zote ukweli unatuweka huru, putting yourself first is not a selfish (kama aliamua kua na mwingine sio kosa ila alitakiwa kumuambia yule wa kwanza ukweli) mapema kabisa.
sijajua umeangalia nini mpaka kufikia mkataa huu mkuu,

lakini kwa maoni yangu naamini tupo hivyi tulivyo leo kwa sababu ya umimi,

neno mimi destroys everthing,laiti kama kila mmoja wetu angejaribu kumweka mwingine mbele kwanza,nadhani dunia ingekuwa mahali bora na salama Zaidi kuishi,

coz kila mmoja angesema lets say ni chakula acha Fulani apate kwanza,tungejikuta wote tumeridhika na kufurahi kuona mwingine amepata ana furaha na hivyo tusingehitaji kugombaniana foleni kwenye mabenki,kudhulumiana,kuuana kwa ajili ya kujijali sisi tu bila kujali wengine wanahisi vipi.
 
Hii Ni wewe menyeweeee
 
Duuh! Huna chochote kinachosuta moyo au? Daah! Anatia huruma sana huyo Nesi
Ushuhuda jinsi elimu isivyotukomboa. Nesi mzima anapata ukimwi kizembe kisa kupata mtoto?!
 
Bado sijaoa lakini pale nilipopanga kupita nahisi panaelekea kuwa mke sasa inabidi nipate ushauri namna ya kujinasua.[emoji854]
 
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Uzi umenichekesha tu ulivo.
 
Ushuhuda jinsi elimu isivyotukomboa. Nesi mzima anapata ukimwi kizembe kisa kupata mtoto?!
Huyo nesi alikuwa anafanya maamuzi akiwa katika panic hasa baada ya kuona jamaa kaoa mtu mwingine na nesi umri wake ndio huo kuanzisha mahusiano mapya ya kumpeleka hadi ndoani ilikuwa safari nyingine, hivyo basi nadhani alivyojileta huyo jamaa nesi akaingia mzima mzima akijua anatuliza maumivu yake kumbe ndio kajipigilia misumari
 
What goes around comes around, maisha yana staili ya kipekee sana kulipiza ubaya tuliofanyia wenzetu
 
ungemzalisha tu huyo nesi ili kumpooza machungu na sio kumuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…