Tupe mkasa wako ulivyoishia kumuoa uliyedhani utapiga na kusepa

Tupe mkasa wako ulivyoishia kumuoa uliyedhani utapiga na kusepa

Namshukuru Mungu nilie naae hata kabla sijapiga nilijisemea tu huyu ndio mwenyewee na kweli ikawa hvyo...

Yani kuna wanawake ukikaa nao tu unajua huyu nisipoweka ndani nitatakiwa kwenda kupimwa akili
 
Sijawahi kuwa na mdada eti nasema kabisa hapa "napiga nasepa" haijawahi tokea maishani

zinatokeaga tu zile za kulana kimasihara nyingi ila inapokuja swala linaloanzia "kutongozana"

asee siwezi kumwambia dada yyte nakupenda halafu kumbe sina future nae "siwezagi" kbsa

nikikurushia maneno,tukapanga kbsa appointment,yani taratibu zte nikafanya ili ajue nimemuelewa

na niko serious nae namuhitaji (huwa ni real) sijawahi fake,otherwise tuwe tu marafiki tuje tukulane kimasihara.
 
Siku zote ukweli unatuweka huru, putting yourself first is not a selfish (kama aliamua kua na mwingine sio kosa ila alitakiwa kumuambia yule wa kwanza ukweli) mapema kabisa.
sijajua umeangalia nini mpaka kufikia mkataa huu mkuu,

lakini kwa maoni yangu naamini tupo hivyi tulivyo leo kwa sababu ya umimi,

neno mimi destroys everthing,laiti kama kila mmoja wetu angejaribu kumweka mwingine mbele kwanza,nadhani dunia ingekuwa mahali bora na salama Zaidi kuishi,

coz kila mmoja angesema lets say ni chakula acha Fulani apate kwanza,tungejikuta wote tumeridhika na kufurahi kuona mwingine amepata ana furaha na hivyo tusingehitaji kugombaniana foleni kwenye mabenki,kudhulumiana,kuuana kwa ajili ya kujijali sisi tu bila kujali wengine wanahisi vipi.
 
Dah,huu sio miasa wangu ila ni wa mtu ninayemjua. Jamaa alikua ana tabia flani ya kiboya ya kutoa chasing a.k.a chabo...ilikua miaka ya 2006 alikuja na mwanamke akaingia naye geto akaandaa utopolo wake wa kuweka watu dirishani wakasikilizia sauti na miguno kwanza badae akalifungua kimtindo panzia huku akiwa yeye chini mwanamke juu lakini mpaka leo hii ni mkewe halali wa ndoa na watoto wawili wamepata.
Hii Ni wewe menyeweeee
 
Duuh! Huna chochote kinachosuta moyo au? Daah! Anatia huruma sana huyo Nesi
Ushuhuda jinsi elimu isivyotukomboa. Nesi mzima anapata ukimwi kizembe kisa kupata mtoto?!
 
Bado sijaoa lakini pale nilipopanga kupita nahisi panaelekea kuwa mke sasa inabidi nipate ushauri namna ya kujinasua.[emoji854]
 
Katika maisha ya vijana wengi mahusiano mengi yanakiwaga ni mwanaume kumtamani zaidi mwanamke hivyo mwanamke hugeuzwa chombo cha kustarehesha viungo vya mwanaume,

Hapo mwanaume nae mara nyingi anakuwa na plan zake kwamba hapa najipigia tu, nikimchoka naenda kwengine.

Hali inaweza kuwa tofauti mwanaume ukakolea kweli kweli kwa huyo binti unaemchukulia poa ambae huwa unajipigiaga tu,

Baada ya muda waweza kuta mazingira yamekufanya tu uvute kabisa jiko ndani.

Tupe mkasa wako
[emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Uzi umenichekesha tu ulivo.
 
Ushuhuda jinsi elimu isivyotukomboa. Nesi mzima anapata ukimwi kizembe kisa kupata mtoto?!
Huyo nesi alikuwa anafanya maamuzi akiwa katika panic hasa baada ya kuona jamaa kaoa mtu mwingine na nesi umri wake ndio huo kuanzisha mahusiano mapya ya kumpeleka hadi ndoani ilikuwa safari nyingine, hivyo basi nadhani alivyojileta huyo jamaa nesi akaingia mzima mzima akijua anatuliza maumivu yake kumbe ndio kajipigilia misumari
 
Baada ya kumaliza chuo, nikatafuta kashule kujishikiza nikisubiri ajira ya nilichosomea. Kuna wiki nilikua mwalimu wa zamu, ukiwa zamu unakaa skuli hadi weekends jmos na j2.

Sasa jumamosi hiyo akaja huyo binti. Aliwahi soma hapo kabla sijaja, kaja kufata vyeti vyake.. nkamwambia vyeti vinakaa ofisi ya mkuu, na mkuu yupo siku za kazi. Nikachukua namba kwamba jumatatu kabla hajaja nimcheki kama mkuu yupo au laa.

Siku ile ile nkaanza mtongoza kwa simu. Na wakati huo plan yangu ilikua nipite tuu maana nilikua na mchumba wangu nesi ambae nasubiri nipate ajira rasmi nioe.

Siku nyingine ya kazi kaja kuchukua cheti, jioni kapitia geto, ingawa alininyima mzigo kisa bado mapema.. ila weekend inayofata alikuna geto na akanipa mzigo.

So nikawa na mademu wawili rasmi. Tatzo likaanza, nkaona namna anavonihendo huyu denti, ni tofauti na mchumba wangu nesi.
Denti akawa so romantic, ananiita mume wangu, ananijali mno. Basi nkawa naendelea kumla. Ghafla mimba hii hapa. Na nilijiwekeaga kwamba sitakuja kutoa mimba yangu. Nkasema usitoe ntaitunza.

Nahisi kwao walimshawishi ahamie maana nkaona anahamishia kimoja kimoja. Siku akija geto anaondoka baada ya siku 3, mara wiki mara akahamia mazima..

Nkafanya process za posa, nkalipa mahali, akajifungua sahv dogo ana 4yrs. Mwaka jana 2019 nmefunga nae ndoa. Na sahiv ni mama k.

Back to nesi, ile me kuoa ilimvuruga sana. Sababu anasema alikataa wengi kisa alikua na uhakika na mimi. Age ilikua imesonga alkua na 27yrs ile 2017. Mwaka jana nilipofunga ndoa yeye akiwa na 29yrs akagive up kuhusu kuolewa, akaamua atafute mtoto.. katka kutafuta mtoto akakutana na jamaa kumbe ni hiv +. So nesi nae akaukwaa. Mimba akipata zinatoka. Hadi sahv bado hajapata.. (Hizi story nazipata kwa shosti yake ambae me ni rafiki)
What goes around comes around, maisha yana staili ya kipekee sana kulipiza ubaya tuliofanyia wenzetu
 
ungemzalisha tu huyo nesi ili kumpooza machungu na sio kumuua
 
Back
Top Bottom