Tupe mkasa wako ulivyoishia kumuoa uliyedhani utapiga na kusepa

Uko sawa. Lakini hili huwa naliangalia kwa jicho jingine. Kwamba everything happens for a reason.

Kwa sababu baada ya kuoa huyu mke ambaye kaja ghafla na kumuacha nesi, nilipoanza ishi na huyu mke nkajagundua she is my wife niliyeumbiwa. Sababu ya namna tunavoendana, kuelewana.

Ndoa yangu ni tamu mno. Naweza sema mke wangu ni soul mate ambaye sikuexpect kabisa. Sometime huwa naenda mbali na kuwaza this marriage is the best compared na nngemuoa nesi. Huenda labda nngemuoa nesi kisa tuu nmedumu nae katka mahusiano basi ndoa ingekua ngumu.
 
Kwahiyo wakati unamnyandua nesi haukujua kama mnaendana?
Hii itarudi tu kwako haiwezi kukuacha salama
 
Watu wamekuwa emotional sana kuhusu story ya Nurse, pamoja na kuwa aliumizwa roho kwa kuachwa, mwisho wa siku maisha ni yako na jukumu la kujitunza ni lako binafsi.Kama mtu ambaye anafanya kazi za afya ilibidi awe makini zaid kwa vitu kama iv,kupata HIV kwa ngono kisa unataka mtoto inaleta maswali mengi kuhusu umakini wa huyo demu.Ingawa wote hatujui kesho lakin,kuna kujitahidi.
Ilobakia kuombeana,kuna dawa nzuri siku hizi anaweza kuishi maisha ya furaha na amani akipata support nzuri.
 
Wewe kweli mcheza kamari
 
Huwa nachukia sana hii dhana potofu. Sasa watoto wake wanahusika vp hapo wakulipa ni yeye mwenyewe.
Wewe mwenyewe pengine kuna jambo unalilipa wazazi wako walifanya huko nyuma.
Ula hujui tu.
Maisha yako hivyo.na wala si dhana.
 
I reserve my comment nitarudi nikifanikiwa kuongeza bando[emoji1787][emoji1787]
 
Hizo ni story tu,ndoa hupangwa na huyo aliemuoa ndio chaguo lako.
Nesi kashindwa kutumia taaluma yake ya unesi kamegwa bila kinga kaunyaka..ndoa hailazimishwi ukiforce ndio zile miaka miwili chali
 
Sahihi kabisaaaa....
 
Huyo nesi hakua mkeo hakuna lolote litakalo kutokea,hao wanaosema hivyo unakuta alikua na wanaume 5 kaolewa na yule aliemuona anakitu.
Nesi nae alikua anapambana kupata bwana ndio hivyo tena ajali kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…