Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Well said mkuu, mimi nilikwazwa na usimuliaji wako tu lakini hayo mengine ni huyo nurse mwenyewe ameyatafuta, apambane nayoWatu wamekuwa emotional sana kuhusu story ya Nurse, pamoja na kuwa aliumizwa roho kwa kuachwa, mwisho wa siku maisha ni yako na jukumu la kujitunza ni lako binafsi.Kama mtu ambaye anafanya kazi za afya ilibidi awe makini zaid kwa vitu kama iv,kupata HIV kwa ngono kisa unataka mtoto inaleta maswali mengi kuhusu umakini wa huyo demu.Ingawa wote hatujui kesho lakin,kuna kujitahidi.
Ilobakia kuombeana,kuna dawa nzuri siku hizi anaweza kuishi maisha ya furaha na amani akipata support nzuri.