Nilikua day mkuu, miaka yangu 6 yote pale sijawahi kukaa shuleBen Paul alikuwa maarufu kwa sisi tuliokuwa tunakaa hostel na wale waliokuwa hostel za jangwani kwani alikuwa akituimbia nyimbo Aza-Jangwa! ila kama ulikuwa day ilikuwa vigumu sana kumjua.
Umenikumbusha mkuu, pale wakati nipo olevo nawaona kina marehemu amina chifupa (alikua na mdogo wake wakuitwa Rehema pini moja matata form 3), daz baba,makamua, salma jabir (aliletwa na kipingu kutoka zenj kwaajili ya kipaj chake cha b/ball), hasheem thabeet pale kantini alikua akisimama anavuka hadi lile paa la kantini kwa urefu wake. Pawasa nafkiri aliishia form 5 pale hakuendelea. Ila wengi waliosoma pale mwisho wa siku matokeo yao wali-differentiate constant
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji851][emoji81][emoji23][emoji28][emoji3][emoji16][emoji74][emoji86][emoji85][emoji204][emoji205][emoji38][emoji2][emoji1787][emoji1]
Mkuu umeniacha hoi hapo kwenye differentiate constant. Means walikula zero zao saaafi kabisa.
Azaboi wanaondoa O level wanaacha Advance tu,walimu wengi wamesambazwa karibu na maeneo yao wanaoishi...Abdul Mohammed alikua GS bora zaidi Azaboy na alikua anatangaza EATV wkt yupo shule akaja kupata deal BBC London...nilimkuta akiwa form 4 wakati naanza form 1
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π kaa kwa kutuliaMimi ni star inamaana hamna aliesoma na mimi huku mbona stori yangu sioni
Mimi ni star inamaana hamna aliesoma na mimi huku mbona stori yangu sioni
Vipi mkuu bado upo vizuri kwenye battle tulianzishe...Wengine tumesona na Kinjekitile Ngwale enzi za vita vya MajiMaji.
Naye anahesabika celebrity.
For real ninesoma na Diplomatz na Y Thang wa Kwanza Unit Tambaza.
Tumefanya sana rap battles enzi hizo.
Siku hizi wengine washakuwa madaktari, wengine ma Ustaadh.
Sent using Jamii Forums mobile app
You wanna battle or rat-a-tat-tat rattle?
You wanna battle or rat-a-tat-tat rattle?
Duuh! Nimelianzisha vanga/You wanna battle or rat-a-tat-tat rattle?
You goatherder, go take care of your cattle
I lay laws like Cato, my blows are fatal
Come against me, boy I got forces liek NATO
You pitter-patter, I eat you like Sato
You wanna battle or rat-a-tat-tat rattle?
You goat herder, go take care of your cattle
I lay laws like Cato, my blows are fatal
Like I was coached by Cus D'Amato
Come against me, boy I got forces like NATO
You pitter-patter, I eat you like Sato
Saddle your...aaah
King Kiba..hata asipofanya tukio atatajwa tu HII NDO MAANA YA STAR, siyo hadi uachane na mzazi mwenzio ndo utrendNime soma na Ali Kiba UDSM night session, sema atupendi show off uwa tuna subiri watoto wa day session waondoke wote
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π πYou wanna battle or rat-a-tat-tat rattle?
You goatherder, go take care of your cattle
I lay laws like Cato, my blows are fatal
Come against me, boy I got forces liek NATO
You pitter-patter, I eat you like Sato
You wanna battle or rat-a-tat-tat rattle?
You goat herder, go take care of your cattle
I lay laws like Cato, my blows are fatal
Like I was coached by Cus D'Amato
Come against me, boy I got forces like NATO
You pitter-patter, I eat you like Sato
Saddle your...aaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikuwa bhangi mkononi nini?
Mi nilisoma na deo kisandu hadi naona aibu kuchangia huu Uzi nyie endeleeni tu wakuu
Basi msocha anapenda kujitangaza yeye ndio kaibua kipaji chake