Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,039
- 6,253
Nilikua day mkuu, miaka yangu 6 yote pale sijawahi kukaa shuleBen Paul alikuwa maarufu kwa sisi tuliokuwa tunakaa hostel na wale waliokuwa hostel za jangwani kwani alikuwa akituimbia nyimbo Aza-Jangwa! ila kama ulikuwa day ilikuwa vigumu sana kumjua.
Sent using Jamii Forums mobile app