Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

Haya sasa,leteni na uzi wa kama mlisoma na watu mashuhuri kitaaluma mfano mwanasheria,wahandisi wanasayansi
Madokta wafanyabiaahara wakubwa

Ova

Umeshindwa nini kuanzishwa wewe!!!.. nitag 🤗
 
Write your reply...moni central zone nimekula nae sana mafeg na makush pale udom kuna siku tulidakwa na mlinzi tunachoma tukamwomba fair akatuambia tukavutie mbali na hostel
 
Nimekumbuka kitu.
Marehemu CowBiz na Dark Master walikuwa wanakuja kupiga simu za "TTCL" home miaka hiyo, then nawarudisha East Zoo - Kikuyu.

Hapo ndipo nikafahamiana na madogo wa East Zoo.
Mez B.
Mangwair.
Rest Easy wadongo zangu.
 
Hivi Mh. JMK ni msanii ama sio msanii!!?
Mimi nilisoma naye TTSS.
 
Dataz umemsahau
 
Elizabeth Michael, Lulu. Tulisoma naye Perfect Vision pale ubungo. Kwa kweli kwenye ukicheche demu alianza kitambo. Kuna wakati alizua skendo ya kutembea na mkurugenzi wa shule, Mwalimu Kadeghe huyu huyu mnayemfahamu. Naona walimu wakashindwa namna ya kumfukuza. Hakakumaliza form four pale....
 
Maishaa yanaendaa kasi sanaaa. Nimesomaa na kanye west chuo chicago mwamba alikuwaa anajikubaliii sanaaa cofidence kama zotee. Ila hakumaliza college ali drop.
 
Ndio kakakimbilia kwenye sanaa. Kamshukuru sana Kanumba kukaingiza huko baada ya kukalamba mzigo alafu akajimilikisha. Ila wasanii wa bongo bhana dah🤣🙌
 
Ndio kakakimbilia kwenye sanaa. Kamshukuru sana Kanumba kukaingiza huko baada ya kukalamba mzigo alafu akajimilikisha. Ila wasanii wa bongo bhana dah[emoji1787][emoji119]
Lulu kaanza kuigiza akiwa ana miaka 8, alipelekwa Kaole na Dr. Cheni, huyo mbakaji Kanumba kamjua Lulu tangu hajaota maziwa na hatujui alianza kumbaka lini,
Huko shule tayari Lulu alikua maarufu,

'Fame at the young age' ndio ilimponza.
 
Lulu kaanza kuigiza akiwa ana miaka 8, alipelekwa Kaole na Dr. Cheni, huyo mbakaji Kanumba kamjua Lulu tangu hajaota maziwa na hatujui alianza kumbaka lini,
Huko shule tayari Lulu alikua maarufu,

'Fame at the young age' ndio ilimponza.
Oh kumbe, ndio nakumbuka baadhi ya michezo ya akina Dr. Cheni, JB na Rich Mtambalike walikuwa wanakitumia Lulu kikiwa kidogo. Thanks for reminding me
 
Wahuni kibao ila ndo hawajatoboa ningesimulia ila wanaweza badili majina wakijipata nikawa mwongo.
 
Nikitulia ntaipangia ratiba nzuri hii thread japo nipitie page kadhaa kila siku kama Maths ni tamu sana.
 
Upo sahihi alikuwa pia mkuu wa shule Ilboru,Principle zake hizo hizo,wewe toka toka tu na school uniform
 
Du unamfahamu Mzee Mpogole RIP basi hata mwanae Venusta unamjua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…