Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

Tuliosoma na mawaziri wa awamu ya tano.
Tunacomment wapi😂😂😂
 
Namkumbuka huyu dogo " Mesen Selekta" miaka ya 2006-07 shule flani kule Arusha ( Mukidoma) nilikuwa nimempita vidato kadhaa mbele..

Dogo alikuwa anakuja room anaomba kinanda apige (chumba chetu ndio tulikuwa tunatunza vyombo vya mziki)

Kijana alikuwa yupo rough sana kipindi kile nafikiri umri pia ulichangia.

Nashukuru dogo Muziki umemtoa, kwasababu nakumbuka shule ilikuwa haipandi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma nae pia huyu mwamba, ila nilibaki muki hadi 2011
 
Yuda ambege?
Daaah sijui utakua baharia gan wew kutoka STAMICO makaa ya mawe, unamfaham mpka salmini mtoto wa mama chamari!!?? Hahahahahaa sijui utakua baharia gan wew katika wale wahuni wa KCM PR SCHOOL!???

Ila mm nilikua mbele yenu pale kcm,,,,,,cjui utakua nani wew,,hahahahaaa nawaza tu.

Mana nyumba yetu ilikua inaanza,,inafata ya kina yuda na kina furaha then panafata kwa mama chamari, kwa kina s2kizzy,,,,hebu jitambulishe mdahu haha.....jf kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo KCM mwalimu wenu akiwa amulike
Mimi nimesoma na huyu dogo anajiita S2kiz . Jina lake halisi ni Salmini Kasim dah aisee tangu dalasa la kwanza mpaka form 4 alikuwa mshkaji wangu kinom uyo fara ninaangalia nae mweleka enzi izo wakina Undertaker, Shawn Michael, Randy Orton. Dah aisee kipindi icho anampenda sana One The Incredible nyimbo zake akina Nikki Mbishi, yaani in short yeye na Lunduno walikuwa damdam na baada ya kumaliza form 4 nimekaa nae sana Mbeya, Uyole geto moja tunalala kwenye kagodolo enzi izo tunauza nae software nilikuwa hata sizifaham ila yeye anazifaham sijui flstudio, antivirus na nyingine mpaka akapata kastationaly flan ivi akaistall iyo flstudio ndio akaendelea kutengeneza izo bit dah aisee maisha haya matam sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee nimekumbuka tayari[emoji23] nlitaka kumsahau jamaa quick rakka nimesoma nae mbeya shule moja hivi inaitwa panda hill sec school

ila me sikumkuta lakini, jamaa alikua kawaida tu, ila alikua anapenda sana hisabati na History, jamaa noma Sana[emoji2506][emoji2506][emoji2506]
 
Ni kweli, Abbott Charles amesoma panda hill
Aisee nimekumbuka tayari[emoji23] nlitaka kumsahau jamaa quick rakka nimesoma nae mbeya shule moja hivi inaitwa panda hill sec school

ila me sikumkuta lakini, jamaa alikua kawaida tu, ila alikua anapenda sana hisabati na History, jamaa noma Sana[emoji2506][emoji2506][emoji2506]
 
Nakumbuka enzi hizo nmesoma na sterio enzi hizo tulikuwa tunamuita ng'ombe alikuwa anatukusanya afu anatuchania mistari, mwingine ni dogo songalaeli mwagelo a.k.a songa,enzi hizo tulikuwa tunakaa nae sie tukiwa form 4 yeye akiwa form 1 dogo alikuwa anajichanganya na wahuni wakat tunakula wider yeye anadondosha free style..wakat namaliza akaniombaga suruali yangu nimuachie...daah kitambo sana,mwingine ni ben paul yeye alikuwa anaimba imba tuu kwaya kwny vipind vya dini... walimalizaga wote intek moja na sterio... nmekumbuka mbali sana japo kuna mr blue byser yeye wakat tunaingia alikuwa ndo katoka kuacha shule so nilikutaga tu stry zake.....,wa mwisho ni mtangazaji wa azam tv fatma abadllah chikawe tumekula nae sana miogo pale uwanja wa mwiba pale kkoo siku za mechi na shule jirani....
Wa mwisho kwa leo ni young d young darisalamaa,dogo kasoma jomba umeacha kuvuta au bado unapiga?
 
Kijiwe niaje!

Ni wengi ambao tunawajua watu wakiwa maarufu ila ni wachache zaidi tunaowajua kabla ya kuwa maarufu aidha kwa kusoma nao, kujuana nao, kucheza nao utotoni, n.k

Binafsi kwa huku Mbeya namkumbuka Izzo Business alikuwa ni mtu moja mchangamfu ila muziki wake alionekana na watu lazima wengi kama muhuni, huku sisi vijana wadogo tukiwa tunatamani angalau kuwa na urafiki nae au kuchana mistari kama yeye, miaka ya 2005 nakumbuka alifanyiwa interview na Mbeya Tv basi ile interview niliirekodi kwenye mkanda wa deki, huo mkanda ulizunguka sana mitaani watu wamcheki Izzo B anavyohojiwa.

Nakumbuka pia alifahamika shule kibao za sekondari kama Sangu tukitoka alikuwa na washkaji zake na vile alivyo staa wa Mbeya tulipenda sana kampani yake.

Wasanii wengine nliowajua kwa juu juu kuna msamiati huyu alieimba yeye na Rapcha "Moto Unaweka" nae wa mbeya alisomaga mbalizi nahisi, ila alikuwa mtoro na mzee wa wida.

Karibuni, muwe mnatia nyama basi, sio unasema tu umesoma au kufahamiana na fulani, jaribu kuelezea kwa undani.
Primary school huko Tanzania Bara ndani ndani nilisoma na jamaa mmoja sasa hivi ni mkuu huko serikalini Dar-es- Salaam ila huwa sijisikii proud kusoma nae darasa moja maana mpaka jina alibadilishaga akachukua la waliofaulu......
 
Back
Top Bottom